Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,939
- 15,664
Wakuu hii movie ya kivita ambayo star mwanzoni alimkamata nyoka na kunywa sumu yake kwenye glasi, ninaitafuta mno lakini sijawahi hatakuiona kila nikigoogle. Tafadhali mwenye taarifa za movie hii upatikanaji wake anipe.