Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 557
ShukraniUjui kuhadithia
Hujui kuandika na wewe kilazaUjui kuhadithia
Kwenye Kila kituHujui kuandika na wewe kilaza
Huyu mleta uzi nishamzoea ni mtu mwenye ability ya chini sana kwenye kila kitu
Yah ni quality nzuri mzeeQuality yake ni nzuri nikitumia kwenye PC? Namaanisha huko netnaija
Basi nitakuwa addicted na hiyo website maana movie zao Mb's ndogo kinyamaYah ni quality nzuri mzee
Habari za mchana WanaJF filamu pendwa imeshaachiwa Unaweza Sogea Netnaija.movie kwa Uchumi huu wa tozo Netnaija.movie Mkombozi wetu
Kama Uliangalia Dont Breath part 1 ya mwaka 2016 basi hii ni mwendelezo wake blindman anaendelea kuuwasha moto
Binti kwenye makazi yao kulitokea ajali ya moto hivyo Akajikuta kwenye mikono Mwanajeshi wa zamani ambaye ni kipofu basi akaishi lakini mzee yule alikuwa na mbwa wake aitwaje phonex binti akaanza kufunza na mna ya kukabiliana na Mambo magumu test zote alizopewa na blindman binti alifeli kumbuka binti alijui Jina lake na wala amjui mama ake wala babake zaidi ya huyo mzee Siku moja binti anaruhusiwa kutoka nje kwenda mjini na mwanadada mmoja ambaye anafahamiana na blind man
Anapelekwa na sehemu ya michezo baadae yule mwanadada anamwambia muda umeisha hivyo waondoke Binti anaomba aende Chooni Mara moja akajisaidie wakati anatoka anakutana na mshikaji njian biniti anaojihami fasta anamwita mbwa wake phonex jamaa anamwachia lakini anamwambia Nitakuona Badae
Usiku wa siku hiyo Ndo Usiku walivamia nyumba ya mzee kupofu waliua mbwa wake na walimwua yule mwanadada a Kosa lingine wakachoma moto nyumba yake Waliwashiwa moto Asee mpaka kuna Jamaa Akasemehe tu kumuua akaampa tu maelekezo wapi alipo binti Kaona atakufa bure kifo asee
Rate 9/10 You will see what I sEe
MUmalize weekend na hizi
The protege 2021
Vacation friend 2021
yakuza Princes 2021
Zone 441 2021
Luca 2021
Jolt 2021
.......
Muwe Na jumapili njema
Mkuu hii netnaija unaweza kudownload movie direct kwny pc kwa mb ndogo hizo hizo na ikawa na quality nzuri au ni mpk udownload kwny Simu then uhamishie kwa pc?
Shukrani Sana mkuu.Mi huwa naangalia kwenye tv inch 43 fresh tu bila zengwe
HahahahahahaUjui kuhadithia
yah nimechanganya hapo mzeemtoto wa kike nakumbuka ndo alikua anaitwa phoenix ila mbwa anaitwa shadow
unaweza tumia Simu alafu ukaweka kwenye pc movie zao karibia zote ni quality na ni mb chache tuMkuu hii netnaija unaweza kudownload movie direct kwny pc kwa mb ndogo hizo hizo na ikawa na quality nzuri au ni mpk udownload kwny Simu then uhamishie kwa pc?
Ehe Lowest Mb lakin ni quality mzeeBasi nitakuwa addicted na hiyo website maana movie zao Mb's ndogo kinyama
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Nimeamini mkuu yaani mpaka nzi akipita anaonekanaEhe Lowest Mb lakin ni quality mzee
Mkombozi wa bando HuyoNimeamini mkuu yaani mpaka nzi akipita anaonekana
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
tumia opera mini mzeeMkuu hii unai search kwa wapi Google Chrome au Google ya kawaida
Inakataa aiseetumia opera mini mzee