Ian_
Member
- Dec 1, 2019
- 7
- 6
Gwala kwa wana Jf wote, matumaini yangu tuwazima wa afya. Kwawaliofikwa na matatizo mbalimbali katika maisha ninaendelea kuwakumbuka kwenye maombi. Just hold tight a little while, our God is almighty and faithful he is never going to let you down ,may you say Amen wherever you are .
Baada ya kupeana salamu niende moja kwa moja kwenye ka 'thread ' kangu, leo kama weekend zilizopita nime chill tu nyumbani kufanya shughuli chache baada ya hapo nimeamua kuperuzi files zangu za muvi. Kama bahati nikaamua kuangalia muvi ya Annabelle ile ya 2017, nikili tu mimi muvi zakutisha (horror) ninaweza angalia hata usiku wamanane isipokuwa tu za kinaijeria aisee wale viumbe nakauchawi wanakausisha kabisa si bure.
Nimeanza tu vizuri nakata madakika simu nimeweka mbali ofcourse sitakagi disturbance, ili nifaidi vizuri sauti plus matukio nikatia na earphone masikioni, mara ghafla tu matukio yakaanza kujiseti kwenye muvi. Mara ya kwanza binti aliyeletwa na father akiambatana na wenziwe kwenda kwenye nyumba ya Mullins alipokuwa akipandisha ngazi kupitia kiti kilichotengenezwa na mzee mwenyewe Mullins alihisi vitu vya ajabu ajabu, mara naye sista anaona biblia inajifungua yenyewe dirisha nalo linajifungua anajaribu kulisogelea anaiona kamba katika harakati za kuivuta anaamua kuiacha ana 'lock' tena dirisha lakini linajifungua tena ,haya matukio uki plus na soundtrack na sound nilijikuta nanyanyuka kwenye kiti na kufungua na mlango kabisa.
Baada ya dk chache nikaona bora nitafute ka 'back up' uchwara, nikatafuta wimbo wa fasta na biti nzuri nzuri (Nalisekelele ya Zambia), nimeiplay kwenye player ya groove na sauti juu na hii player nilowekea muvi nimepunguza sauti . Ila pale tu yule binti aliye na ugonjwa wa polio alipofungua droo moja na kuukuta mdoli akafunga tena nimejawa na mawenge . Kale kamdoli nakakumbuka vizuri kwenye Annabelle 2014 aisee nimeona nisiharibu tu siku yangu.
Kuna mtu aliyefanikiwa kuiangalia hii muvi yote bila kufowadi fowadi
#It_Costs_Nothing _To_Be_Humble🤗🤗🤗🤗