James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,199
- 15,555
Ilistahili hata kupata 2/10 yaani ni ya ovyo mno imenifanya mpaka niifute kabisaA working man 2025
Is an average movie. Wack story wack actions.
Watch if you have absolute nothing else to watch. It's hypes but wack one.
I rate it 4/10
Uko sahihi kabisaa. Hizo nne kweli nimembeba sana. Kwa heshima yake tu. Ila 2 ndiyo sahihi kabisa.Ilistahili hata kupata 2/10 yaani ni ya ovyo mno imenifanya mpaka niifute kabisa
Nilishamwambia huyu jamaa weka hata covers za movie husika inaweza kumshawishi mtu. HAELEWI HATA.Ilistahili hata kupata 2/10 yaani ni ya ovyo mno imenifanya mpaka niifute kabisa
Bosi si kuna mwaka hapo.Nilishamwambia huyu jamaa weka hata covers za movie husika inaweza kumshawishi mtu. HAELEWI HATA.
Yani una rate hii 9/10 halafu unasema working man haifai? Tumetofautiana. Muvi yako ya G20 mi sikuipendaG20 (2025)
A good movie to watch. No nudity. I think inaweza kuwa pg13 for violences and deaths.
Actions are stunning. However, movie inajikita ktk kuwapa leading roles marais wa USA ningependa roles za rais ziwep kwa body guards story ingekuwa nzuri zaidi au labda walitaka kutofautisha na zile za Olimpus has fallen etc
I rate it 9/10
Maoni yangu hayo we hii unaipa ngapi na working man unaipa ngapi?Yani una rate hii 9/10 halafu unasema working man haifai? Tumetofautiana. Muvi yako ya G20 mi sikuipenda
Angalau 6.7. Which makes it 7/10Maoni yangu hayo we hii unaipa ngapi na working man unaipa ngapi?
Working man kwangu Mimi ni movie ya kawaida sana angalia story na actions yaani zimekaa kiwack sana. Villains wanatakiwa kuwa Russians lakini humo hakuna Russians ni British wanaokoteza Russian accent na kuna wakati wanajisahau. Story haina link nzuri kati ya watekaji wa, middle men na warusi na madawaya kulevya. Pia actions are not thrilling hata kidogo.Angalau 6.7. Which makes it 7/10
Hii movie alifeli sana kwenye act pamoja mtiririko mzima wa story yaani boringWorking man kwangu Mimi ni movie ya kawaida sana angalia story na actions yaani zimekaa kiwack sana. Villains wanatakiwa kuwa Russians lakini humo hakuna Russians ni British wanaokoteza Russian accent na kuna wakati wanajisahau. Story haina link nzuri kati ya watekaji wa, middle men na warusi na madawaya kulevya. Pia actions are not thrilling hata kidogo.
Jamaa akiendelea kuigiza movie kama hizi nne mfululizo atakuwa anaanza kuelekea mwisho wa fani yake ktk main stream movies atakuwa kama Jay White na Boika tu.
SureHii movie alifeli sana kwenye act pamoja mtiririko mzima wa story yaani boring