Movie Reviews

Kuna muvi moja niliicheki mwaka 2013. Jamaa kahamia kitaa akaenda kumuomba jirani yake waende bar kula bata. Bar demu wa muhamiaji nahisi alibakwa jamaa akaamua kutembeza kichapo kwa wabakaji kumbe bar yote lao moja jina limenitoka anayeifahamu tafadhali


get well soon tl
 
Nahitaji movie kwa anaezifahamu zinazohusu migongano kwenye ndoa kama Addicted,obsessed nk...yani mume au mke labda kutokuwa muaminifu nk.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…