Movie Reviews

Yes IPO siku itatokea iwe hivo hafu sio kwamba inaasemekana Ila ndo ivo Tom kachukua nafasi ya Ryan kwenye G.Lantern.
Yaaap nililijua kabla hill kua Thanos ndie Cable. hua natabia ya kuangalia review ya muvi Na behind the scene
Thanos na cable ni watu wawili tofauti. Sema characters zote amecheza mtu mmoja.
 
Tafuta
Tomb rider.
Jumper
Mission impossible
Jason borne
James bond
Blood diamond
Beast of no nation
Who am I
Karate kid
Hotel Rwanda
Sometimes in April
Green zone
Prey
Anaconda
Somali pirate
Predator
Sniper 1,2,...
Ghost recruit etc wengine watasaidia hizo ndo nakumbuka kwa haraka haraka
 
shukran sana mkuu.
 
Joker ni super villain, hana zile abilities za super heroes, but ana ile influential power ya ku convince crimes, na he had a very bad story when he was young.
Huyu nae mzungumzia ni joker wa kweny batman.
 
Hivi Joker ni supervillain au ni hero asiyekuwa na superhuman abilities???
Joker ni super villain, hana zile abilities za super heroes, but ana ile influential power ya ku convince crimes, na he had a very bad story when he was young.
Huyu nae mzungumzia ni joker wa kweny batman.
 
yah sio black panther tu, avengers, captain america, thor, spiderman, hulk, black widow zina animes zao toka miaka ya 1964 uko

dc comics pia akina superman, batman, wana animes zao na ndio zilianza kwanza, bila kusahau novels za vitabu
Thanks to Stan Lee bingwa WA comics duniani
 
Wakuu app gan au website gan napata movie kali na subtitles naona movie play box ina zingua alaf showbox ina sema mambo ya torrent
 
Wakuu app gan au website gan napata movie kali na subtitles naona movie play box ina zingua alaf showbox ina sema mambo ya torrent
Unatumia device gani mku by the way we we ndie thanos wa avengers infinity war?
 
Joker ni super villain, hana zile abilities za super heroes, but ana ile influential power ya ku convince crimes, na he had a very bad story when he was young.
Huyu nae mzungumzia ni joker wa kweny batman.
So uwa ni adui mostly huwa yupo upande upi hapo DC i mean crew au linajitegemea..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…