The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 256
hawakutoa tena bwana..si unajua tena nchi za wenzetu walizuiwa na serikali ya usaniliona traveller season 1 vp seasons nyingine zishatoka?
hawakutoa tena bwana..si unajua tena nchi za wenzetu walizuiwa na serikali ya usaniliona traveller season 1 vp seasons nyingine zishatoka?
Zangu hizi hapa. 1.24hour. 2.The seeker. 3.Robin hood. 4.Smillvile. hizi series unaweza kuangalia na familia. muv.1 Avatar. 2.Blood Diamond. nipe za kwako nikazitafute..
jamani kama kuna mtu amengalia movie na series zinazofanana na hizi zifuatavyo anijulishe nianze kuzisakanya kwa udi na uvumba just weka hapa.
1. 24 hrs.
2. Sleeper cell
3. Nikita
4. Allias
5. Prison break
6. Jericho
7. Flash forwad
8. The vanishied
9. Traveller
10. Conspiracy 13
jamani kuna ambazo nadhani zinafanana na hizo za kutumia akili zaidi miujiza ya hero na vampire diary nijulilisheni au movie za kawaida zinazofanana na hizo anijulishe.
hizo movie hapo kwenye bold pamoja na ile ya bourne supremacy ntazipata wapi nimezunguka kote mjini hamnaMovies;
Bourne identity,bourne ultimatum,all tyler perry movies and plays.
series;
True blood,hung,big love,the wire,big C.....HBO
weeds,Iconoclasts,the L word,real housewives of atl,jersey,orange county,basketball wives,mob wives,flavour of love........i just loove tv!,check'em out.
Tafteni hii mini-series inaitwa XIII
View attachment 32011
hiyo rango na ice age naona zimekaa ka za watoto sana, ila ni nzuri, hapa tunasubiri ice age 4....hebu tafuta na hizi.....rio, happy feet, mars needs moms....
traveler,spartacus god of the arena
Hii si ina Episode mbili tu au? Mi nimeziona episode 2 tu, kama zinaendelea nijuze mkuu.
1)touch
2)vanished
3)the suit
4)necessary roghness
5)missing
6)once upon a time
7)merlin
8)revenge
9)traveller
10) csi miami n NY
and so a different taste here! ANIMATIONS ma best. . .
Odhawise. . . . the notebook
the time traveler's wife
gossip girl
erbody hates chris
mind u language
white men cant jump lool
th vampire diaries
step up2 th streets and step up3D
Knight and day
glee
twilight