Mtoto Wabibi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 451
- 294
asante sana mkuuthe art of steal,italian job,trust,nyingine wanakuja kuongezea nyama hapa...
kukupa na link itakuwa ni kukudekeza,hauwezi kutafuniwa kila kitu mkuu,huo utakuwa ni uvivu na hizo movie wala hazitokusaidia lolote,umiza kichwa na wewe ujishughulishe kuzitafuta!
kwanini mkuuWatu wana masimango khaa!!
Kuna wadau weshakujuza...ila nyingine ni za wizihabari
Naomba msaada wa movie au series nzuri inayohusu maisha ya utafutaji hasa mali(utajiri). Ambayo muhusika anatoka from bottom to top katika utafutaji yaani anatoka katika maisha ya ufukara na kufanikiwa ikiwa pamoja na kupata changamoto nyingi sana.
NB: sihitaji mniwekee seminar za ujasilia mali.
Movie/series za aina hii huwa zinanitia moyo sana katika utafutaji wangu na kunifanya nipate mbinu mpya na kutokata tamaa.
Nitafurahi endapo utaweka na link kabisa.