Movie na series nzuri inayohusu utafutaji wa mali (utajiri)

Mtoto Wabibi

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
451
294
habari
Naomba msaada wa movie au series nzuri inayohusu maisha ya utafutaji hasa mali(utajiri). Ambayo muhusika anatoka from bottom to top katika utafutaji yaani anatoka katika maisha ya ufukara na kufanikiwa ikiwa pamoja na kupata changamoto nyingi sana.
NB: sihitaji mniwekee seminar za ujasilia mali.

Movie/series za aina hii huwa zinanitia moyo sana katika utafutaji wangu na kunifanya nipate mbinu mpya na kutokata tamaa.
Nitafurahi endapo utaweka na link kabisa.
 
the art of steal,italian job,trust,nyingine wanakuja kuongezea nyama hapa...
kukupa na link itakuwa ni kukudekeza,hauwezi kutafuniwa kila kitu mkuu,huo utakuwa ni uvivu na hizo movie wala hazitokusaidia lolote,umiza kichwa na wewe ujishughulishe kuzitafuta!
asante sana mkuu
 
Tafuta picha hili la Kifaransa utaona jinsi mtu anayosaka utajiri wa mali na kupitia mikasa kemkem ikiwemo ''mizuka'', vikwazo na balaa inayofanana na mazingira ya kutafuta utajiri wa madini kwa njia isiyo halali pengine hii pia itasaidia ktk hiyo semina kuwa utajiri utafutwe kwa njia sahihi bila dhuluma au wizi:

Movie: 600 kilos d'or pur

Au unaweza kuangalia Youtube

The wolf of wallstreet

American Gangster

The social network

Branded

The Natorious BIG

Straight Outta Campton

The Godfarther

The last Don

Road to perdition
 
mkuu kwa upande wangu naskiliza sana country and rock music ku maintain hustle zangu coz i have a plan to live in a country house with my family nikitimiza 50 years old, currently my company is 1 year old najaribu kuweka structure ifanye kazi kwa ufasaha hata nisipokuwepo ili niweze kutimiza lengo langu la kuishi up country huko hasa Lushoto
 
habari
Naomba msaada wa movie au series nzuri inayohusu maisha ya utafutaji hasa mali(utajiri). Ambayo muhusika anatoka from bottom to top katika utafutaji yaani anatoka katika maisha ya ufukara na kufanikiwa ikiwa pamoja na kupata changamoto nyingi sana.
NB: sihitaji mniwekee seminar za ujasilia mali.

Movie/series za aina hii huwa zinanitia moyo sana katika utafutaji wangu na kunifanya nipate mbinu mpya na kutokata tamaa.
Nitafurahi endapo utaweka na link kabisa.
Kuna wadau weshakujuza...ila nyingine ni za wizi
Wizi wa akili.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom