Movie kujizima sauti (Cinavia).

Movie kujizima sauti (Cinavia).

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
627
Reaction score
1,153
Wana jf, kuna movie nimedownload sasa wakati naangalia zinamute sauti alafu inatokea msg ya cinavia ikionesha ya kwamba hiyo movie ni protected. Naomba kujuzwa kwa mtu ambaye anajua solution ya kuondoa hii automatic mute kwenye movie.
Message inayojitokeza ni hii:
“Audio outputs temporarily muted. Do not adjust the playback volume. The content being played is protected by Cinavia and is not authorized for playback on this device.”
 
Hiyo inamaanisha kanunue original xo kudownload free
 
Back
Top Bottom