1.ANKO JAY JAY1. Mikono salama- hii imeigizwa na Irene uwoya,jokate,jb ,Adam kuambiana na wengine wengi, hii movie ni noma sana.
2.kigodoro- hii imeigizwa na wasanii kibao, kama riyama,hemedy,diana,mama Abdul,kajala na wengine wengi.
3.Gumzo- Ni movie ya comedy, hii nayo si ya kukosa.
4.Dr. max-ni hatari
5.Danija- balaa lingine kutoka kwa jb
6. Bado natafuta- Kali mno
7.kichupa- ni Nouma
8.majuto- next habari
9.
Teh,teh,teh,vip upo Somalia kiongozi,nackia huko ni muvi za Al-shababySijawahi kuona movie ya kibongo. Zinauzwa wapi. Huwa kuna Movie ?? Nijulisheni
1. Mikono salama- hii imeigizwa na Irene uwoya,jokate,jb ,Adam kuambiana na wengine wengi, hii movie ni noma sana.
2.kigodoro- hii imeigizwa na wasanii kibao, kama riyama,hemedy,diana,mama Abdul,kajala na wengine wengi.
3.Gumzo- Ni movie ya comedy, hii nayo si ya kukosa.
4.Dr. max-ni hatari
5.Danija- balaa lingine kutoka kwa jb
6. Bado natafuta- Kali mno
7.kichupa- ni Nouma
8.majuto- next habari
9.
Hawawezi, hawajawahi kupanuka ki fikra. Issue zao zote zinahusu mapenzi, hawana stori nyingine ya kufanyia movie kama sio mapenzi. Kukaa kaa uchi kwao ndiyo movie "wapo kazini ,", hawaoneshi uhusika wa tukio wanaigiza maisha ambayo watanzania hawana. ambao ndiyo wateja wao, majumba mazuri maisha ya kifahari. Mpaka wanajibadirisha rangi yao halisi. Kwa mtazamo huo wala huwezi kuvutiwa kuangalia upuuzi wao.Teh,teh,teh,vip upo Somalia kiongozi,nackia huko ni muvi za Al-shababy