Kurunzi
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 10,175
- 11,572
Kwa wale wafuatiliaji wa move hasa za kizungu kuna clip ya move moja imekuwa ikisambaa kwenye mitandao jina la move hiyo siijui ila inaonekana ni move nzuri.
Clip ya Move hiyo inaonyesha daraja limenapasuka na watuna magari yanatumbikia kwenye mto. Mwenyekujua hii movi inaitwaje niitafute nstanguliza shukrani
Clip ya Move hiyo inaonyesha daraja limenapasuka na watuna magari yanatumbikia kwenye mto. Mwenyekujua hii movi inaitwaje niitafute nstanguliza shukrani