Zozote mkuu ila za asia si upande wa series mkuu.
Ntafta pm, andaa external yenye gb 500, na uje ya laptop yako unless kama external yako iko formated to fat 32 maana kama iko kwenye format ya NTFS yangu itashindwa kuandika data huko.
Movies zipo nyng nakuhamishia kuchambua utachambua mwenyewe.
Vip short movie, unazoo?!
Nime ku pm..
For mobile devices
Tembelea o2TVseries.com kisha download,Wana tvseries zote. Fringe ni science fiction nzur pia kuna Game of thrones (story nzuri iliyotafisiliwa kwenye kitabu)
For mobile devices
Tembelea o2TVseries.com kisha download,Wana tvseries zote. Fringe ni science fiction nzur pia kuna Game of thrones (story nzuri iliyotafisiliwa kwenye kitabu)
Game of thrones bonge la dude yani baada ya spartacus now ndo nalikubari ila tatizo daah jamaa mpaka aandike kitabu, then wakisome watengeneze script daah kila season inachukua muda nasubiri season ijayo now.
Ila kuna series za kikorea kama chuno daah balaa
Ile series nilianza kuvutiwa nayo tangu mwanzo, Namuelewa sana mother dragonz
Yule demu alikuwa mjanja sana kichwani, hizi unazo hadi season ngapi mkuu?