Movie: A Quiet Place 2, ni nzuri sana

Hapa bado hamjui muvi kali,kwanza mna tv lakini?
au mnaangalizia kwenye laptop?
maana utamu wa muvi kali uwe na tv kuanzia inch 55 kwenda juu...

Wengine ni watanzania wa kawaida sio kila mtu ana uwezo wa kuafford hiyo QLED tv, unakoendea utasema sasa kila movie kali ikaangaliwe century cinemax
 
Hapa bado hamjui muvi kali,kwanza mna tv lakini?
au mnaangalizia kwenye laptop?
maana utamu wa muvi kali uwe na tv kuanzia inch 55 kwenda juu...
nina tv bapa kubwa ila movie zote nachek kwa pc laptop tamu nyie
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…