Hakika nimefurahi sana huyu mama kukosa. Ilinishangaza sana kuona Rais Uhuru Kenyatta anahangaika huku na huko kumpigia debe huyu mama kana kwamba kuna ajenda ya siri nyuma ya pazia. Yaonekana alitaka kukitumia vibaya cheo cha AU kupitia mama huyu. Na wakenya walivyo wabnafsi mbona tungekoma. Sasa tutalala usingizi maana wangelipiga kelele hao.