Mourinho

rubaman

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
4,983
Reaction score
3,084
The special one!:biggrin::biggrin::biggrin:
Najua Real Madrid bado wana nafasi kubwa ya kuingia fainali kuliko Barca lakini haya matokeo yatakuwa yamekata ngebe za Mourinho. Ile safari ya kukimbia Santiago Bernabeau imesharahasishwa kwa kipigo hiki. Sitokushangaa kibarua cha Mourinho kuota mbawa wiki ijayo.
 

excellent mkuu!
 

Leo kabla ya mechi alikuwa anahojiwa na aljazeera sport alikuwa anajigamba sana alisema BVB wana 25% na Madrid 75% yakushinda game,imekuwa kinyume
 
Mourinho amemzalilisha sana Iker Casilas...
Kwenye ndege ya makipa kuna ndege moja anapanda Buffon na Casilas tu.

Ikumbukwe Casilas alisitisha masomo yake kisha akaja kuwapa Los Blancos Merenguez ubingwa wa Ulaya...

Hizi dhambi nyingine hukumu yake ni wiki moja baada ya kuzitenda.
 

Casillas kawa MSENGErema siku hizi, anataka kuwa above the coach kama ilivyokua kwa Raul, hata kama angemuacha baba ake afe ili kuitumikia club bado anatakiwa kuwa na adabu.

Na kama Mourinho ataondoka kama inavyodhaniwa, kocha anayekuja hapo inabidi awe mbabe ikiwezekana amuuze huyu mshenzi, kwanza kiwango chake kimeshuka sana, huwezi kumfananisha na Gigi, anabebwa sana na mafanikio ya Spain ambayo kwa kiasi kikubwa sio ya Spain bali ya wacatalunya ambayo hata angedaka Ivo Mapunda angeonekana jembe tu
Puta Iker!
 
Mmelishwa maneno ligi ya Spain ni bora kwa vile ina timu mbili maarafu, mmesahau Bundesliga
 
Leo kabla ya mechi alikuwa anahojiwa na aljazeera sport alikuwa anajigamba sana alisema BVB wana 25% na Madrid 75% yakushinda game,imekuwa kinyume

umecomment 00:56 hrs so ina maana mourinho alizungumza JANA
 

uchambuz kuntu huu,,,hapo juu kwenye blue HUOGOP BAN?
 
Mkuu badilisha kauli hapo kwenye red..! Wote wamekalia kigogo kwa nyuma..! Sisi hali hii huwa tunaiita dhooful khali..!
 
Ukiwa ni kocha kwenye timu ya mastaa watupu, sharti uwe ni kama Pilato kwenye maamuzi. Bado naimani kwenye 2nd game, la liga teams wanaweza kuishangaza dunia kwa matokeo ya soka. So far, credits to Germans
 
Mourinho sikupenda kukopi post yako lakini ulichokiandika sina cha kuedit, yule dogo ----- sana sijui Gang Chomba anamtetea hili iweje labda anataka ampeleke Abajalo akacheze ndondo.
 
Mourinho sikupenda kukopi post yako lakini ulichokiandika sina cha kuedit, yule dogo ----- sana sijui Gang Chomba anamtetea hili iweje labda anataka ampeleke Abajalo akacheze ndondo.

Kabla yake alikua Raul, yeye ndio alikua na sauti kwenye dressing room kuliko mtu yoyote, kila kocha alikua anaenda pale hakai, nakumbuka kipindi hicho mpaka Big Phil akasema the problem of real madrid ni Raul.
Na kuvuja kwa mambo ya ndani ya dressing room ya Madrid yanatokana na huyu msengerema, kukiwa na kupishana maneno kidogo anaenda kumwambia demu wake au yule journalist shost wake, ambaye juzi hapo Mourinho alimchengia kwenye press conference.
Whether Mourinho ataondoka, huyu mpuuzi naye inabidi auzwe, ni cancer hiyo. Me kuna wachezaji nawakubali sana the way wanabehave, kina Zidane, Giggs, Scholes, Gigi, Makelele, Maldini, Seedorf, Pirlo, ni wachezaji wakubwa wanajua mpira na most of the time viwango vyao katika game ndio huwa vinaamua matokeo ya match, lakin hutawasikia kwenye vyombo vya habari wanauza sura au wanaongea mambo ya ndani ya kwenye dressing room.
Sasa itakua huyu mbwiga tu ambaye kazi yake ni kusimama uwanjani for the most of the game? Alipata umaarufu kipindi kile Madrid ina kina Zizou, Figo, Ronaldo, Carlos, Solari, Makelele, mpira ulikua unaishia kwa Makelele kama team inashambuliwa, yeye alikua na kazi ndogo sana, sasa hivi team haina kiwango kama cha kipindi hicho ndio unauona ubovu wake.

Puta Iker.
 

Naona umeserukamba hapo mwisho.
 

Iker angepangwa second leg na Man utd, utd ingeshinda, Lopez aliibeba sana madrid
 
Mkuu badilisha kauli hapo kwenye red..! Wote wamekalia kigogo kwa nyuma..! Sisi hali hii huwa tunaiita dhooful khali..!

Kuna kitu gani kigumu ulichoshindwa kuelewa nilichomaanisha mkuu? Real Madrid bado wana nafasi kubwa ya kuingia fainali kuliko Barca kwa sababu wanahitaji kushinda magoli 3-0 ndani ya Santiago Bernabeu wakati Barca wanahitaji kushinda 5-0 ndani ya Camp nou. Nadhani unajua kuhesabu 1 mpaka 5.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…