Mourinho atarudi Real Madrid?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,875
Jana nilimsikia Mourinho akisema kipindi yupo Real Madrid ndo kipindi very very special kwake

nilishangaa sana...nikawa najiuliza mbona huyu jamaa muongo muongo?

Mbona siku zote husema alipofundisha Inter Milan ndo
ilikuwa very special?

Inter ndo alishinda nao mara ya mwisho Champions League
bajeti ya inter ilikuwa ndogo sana kulinganisha na Chelsea au Ma
drid

Inter ndo timu ya mwisho kushinda Champions league kutoka Italy...

Leo nimeelewa why Morinho now anajipendekeza Madrid
kashaona kuna dalili za Zidane kutimuliwa
anachofanya ni kubembeleza tu ajira
 
Zidane karudi Madrid kufuta mazuri aliyofanya na kujitengenezea aibu
Madrid kunahitaji kitu kimoja kati ya hivi incase project zizou ikifeli,
Mosi clearout ya wachezaji wote kusuka team upyaaaa..
Au option ya kusaka kocha 'bingwa' wa hizi 'mambo' ambapo mou ndo anaingia..
Something weird enough,atletico madrid anatengeneza upya team yke kmykmy,barca na madrid wanaspend km majinga,very soon wataona wanapuyanga wapi..
 
Jana nilimsikia Mourinho akisema kipindi yupo Real Madrid ndo kipindi very very special kwake

nilishangaa sana...nikawa najiuliza mbona huyu jamaa muongo muongo?

Mbona siku zote husema alipofundisha Inter Milan ndo
ilikuwa very special?

Inter ndo alishinda nao mara ya mwisho Champions League
bajeti ya inter ilikuwa ndogo sana kulinganisha na Chelsea au Ma
drid

Inter ndo timu ya mwisho kushinda Champions league kutoka Italy...

Leo nimeelewa why Morinho now anajipendekeza Madrid
kashaona kuna dalili za Zidane kutimuliwa
anachofanya ni kubembeleza tu ajira
Madrid waanze kumwondoa Florentino Perez.
Rais mwingine hawezi kumtaka Jose Mourinho akapaki bus pale Madrid.
 
Jose Bwana"The Special One" Moja ya Makocha Walioweza kumsimamisha Kisawa-Sawa Jembe langu Sir Alex Ferguson,


Rekodi ya Ferguson kwa Jose Haivutii, Michezo 14.


Jose kashinda 6, Alex 2".


Jose naye akawa anapata Wakati Mgumu sana anapo mutizama Pep.


Kitabu cha Alex Ferguson My Autobiography 2013,Alijaribu kumuelezea Jose kwa kupewa chapter yake lakini bado alimuelezea Juujuu Ilinishangaza,


Alex Ferguson "Jose Mpinzani halisi"

Pamoja na soka lakujihami zaiidi lakini ni moja wa kocha Mwenye mbinu za Ushindi,Nilipata kuvutiwa na /Upembuzi Yakinifu Juu ya Barcelona ya Ronaldinho & Messi & Etoo dhidi ya Chelsea akiwa na Jamaa yake Mpembuzi AVB.

Kabla ya Mechi Barcelona vs Chelsea aliwachambua wachezaji Messi,Gaucho & Etoo.

Messi: "Kijana Mwepesi,Mbunifu,Kasi & Maarifa anatumia zaiidi guu la kushoto" HIVYO Asiachiwe nafsi kubwa afanyiwe Tackling nje ya box.

Gaucho: Mbunifu,Maarifa & Mnyumbulifu,Mtu hatari sana 1 vs 1, Mwepesi kujibwaga, HIVYO nikuwa Mwangalifu ktk Ukabaji,asiachiwe nafasi kubwa.

Jose kwangu mimi naona ni Mtu aliyerejesha heshima ya Real Madrid katika Ramani,Mfano UEFA Champions leagues Walisumbuka Misimu minane 2000-10 akitolewa hatua ya 16 bora mfululizo,Huku Lyon akimlamba Madrid kama Hawara.

" Hawara Hana Talaka Ukitaka Unampata"

Japo kunabaadhi ya shabiki wengi tu wa Madrid Wanamuona Kigagula.


Jose alishawahi kusema yeye huwa hagombani na Matajiri wa Club,Hivyo stashangazwa na kurejea kwake Madrid,Jose huwa anagonga mvinyo na Perez,

Naweza Nisishangazwe zaiidi na Glazzer kupiga chang'aa & Zabibu iliyochacha na Bwana Jose huko Las Vegas.

Jose A New Hegel Philosopher....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom