Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,439
- 29,632
Habari kutoka Uingereza zinasema kocha wa Chelsea, Mourinho, ambaye ndiye aliyempeleka Drogba Chelsea hapo mwaka 2004, anataka mshambuliaji huyo wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 36 kwa sasa, arejee tena kwenye timu ya Chelsea. Drogba ambae mkataba wake na timu ya Galatasaray umekiwisha, inasemekana pia anatafutwa na timu za Juventus na Qatar.
Hadi sasa wachezaji wapya ambao Chelsea imewapata ni pamoja na Diego Costa na Filipe Luis kutoka Atletico Madrid, na pia Cesc Fabregas, Mario Pasalic na Kurt Zouma.
Source: Daily Star, UK
Hadi sasa wachezaji wapya ambao Chelsea imewapata ni pamoja na Diego Costa na Filipe Luis kutoka Atletico Madrid, na pia Cesc Fabregas, Mario Pasalic na Kurt Zouma.
Source: Daily Star, UK