Menyainganyi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 1,170
- 1,106
Matola,Kila siku mpo kwenye internet lakini mnakuwa too shallow namna hii? Why?
Customer care wa vodaphone UK wapo India
Isitoshe Ulaya kuna mawakala wa kuleta watalii Africa, wale ndio wanakubaliana nà makampuni ya huku Africa.
Kama mtalii anapapigiwa hesabu yake yote na akalipa shida iko wapi akitoka Botwana? Nyinyi si mmekalia siasa?
Nieleze hapa Tanzania ni kampuni gani yenye yale maroli makubwa ya kubeba watalii?
Nieleze hapa Tanzania ni kampuni gani iliyoingiza mabasi ya ghorofa ya wazi kama London bus kwa ajili ya City tour na trip kama za Bagamoyo?
Tumekaria porojo tu
Hakuna kitu mkuu. Labda Obama. Bush II anaulizwa kuhusu janga la UKIMWI Afrika anasema tena bila kupepesa macho eti "I know. That COUNTRY has a terrible disease"Ni kweli mkuu...., huwezi kuamini hawa jamaa ni hovyo kabisa ktk kuifahamu Afrika ... Labda wana siasa wao ndio wanaifahamu afrika kidogo, na wanafamu sehemu chache za afrika zile zenye migogoro na vita au zenye maslahi kwao ...
Asante sana umefanya jambo ambalo Serikali inastahili kulifanya kwa nguvu zake zote. Sio kila mtu anajua mt Kili ipo Tz kutikana na jirani zetu kutumia nguvu kubwa kujitangazia kuwa upo kwao. na hata hii ya Viza ya Pamoja ni bora tulivyoikataa cz ingekuwa ndo mwanzo wa kuanguka kwa Sekta ya utalii Tz. kama serikali imeshindwa kuitangaza Tz basi sisi wananchi tutumie nafasi tunazopata kujitangaZa zaidi.Bado inakula kwao tu,hata watalii wakienda kwao na wakataka wauone mlima Kilimanjaro watajikuta wanawaleta Tanzania na wataishia aibu.mtu m1 kule South Africa aliwahi kustaajabu akiniuliza hv Kilimanjaro iko Tanzania?nikamuuliza na umri wote huu ulikua hujui?akanijibu serious kabisa kua anachojua yeye mlima huu upo Kenya.ndipo nilipomuelewesha akaelewa,kitu kingine alionekana kutamani kufika Zanzibar,nikampa mwaliko wa kirafiki japo bado hajaja lakini yupo mbioni,msitishwe na watu wanaoiba vya kwetu kwa kudanganya,mwisho wa siku hua wanaaibika tu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji115] [emoji115]Hakuna kitu mkuu. Labda Obama. Bush II anaulizwa kuhusu janga la UKIMWI Afrika anasema tena bila kupepesa macho eti "I know. That COUNTRY has a terrible disease"
Wangejua kidogo tamaduni za watu huko nje unafikiri wangemwondoa Saddam Hussein au kukimbilia vita Afghanistan kwa watu wenye historia ya kutoshindwa vita? Sasa eti ndo wameanza kukazania wanafunzi mashuleni wasome angalau kwa miaka miwili lugha nyingine na ikibidi waende huko lugha inakosemwa wakajifunze utamaduni.
Nilikwenda Seattle May vizee vya kizungu vinauliza "lot of lions in Africa eeh? Are there skyscrapers there?" Nikataka kuvifurumua makofi sema tu nilikuwa naviomba pesa ikabidi niwe mpole.
***The sleeping giant is always in long sleep, dah tatizo CCM, Mwenge ndio zindiko linaloendelea kupofusha.
Mwisho Wa siku wakitaka kwenda Mount Kilimanjaro itawabidi waje Kilimanjaro na siyo Botswana! Wasioweza kuvumiliwa ni Kenya wanaotangazia dunia kuwa baadhi ya vitu vyetu viko Kwao.Habari za Jioni wanajF,
Muda sio mrefu nimweka series inaitwa "ZOO". Yani nilichokiona ilibidi nishangae . Series inaanza kwa kuandikwa BOTSWANA tena kwa maandishi ya herufi kubwa na baada ya dk kama tatu nne hivi inaonsha watalii wapo katika gari yenye plate number za botswana wakitembezwa Katika hifadhi ya mlima Kilimanjaro,haikuishia hapo cz kuna mtu alitumia neno "Rafiki" katika scene hiyo ya Mt Kilimanjaro.
Kiukweli imeniuma sana cz najua hizi muvi ni moja ya matangazo ya kuitangaza maliasili zetu.
Ifike wakati sasa tuchukue hatua kuzuia mambo kama haya yasizidi kuendelea.
siamini kuwa haya ni makosa madogo ya directors wa Movie ila naona hii ni kusudi na ni mbinu mojawapo ya kuitangaza Botswana kupitia mgongo wa Tanzania. Kwasababu Kabla ya muvi kutoka huwa inafanyiwa uhakiki kisha ndio inaachiwa.Yani hata mazingira ya muvi yenyewe yamekaa kitanzania zaidi na sio kibotswana cz Kuna camp inaitwa MSISIMKO Safari camp pamoja na KITUKO camp.
Haya ngoja niendelee kutazama huwenda nikagundua mengi zaidi.
Nawasilisha
labda mtalii wa mwendokasi. kwanza cku iz technolojia imekuwa watu wanasearch google map kuona sehemu kabla ya kwenda. mfano nikitaka kwenda TARIME nitaweza kujua ilipo na distance toka mwanza au popote nilipomambo mengine ya kitoto tu,ina maana mtalii ataenda Botswana kuangalia mlima kilimanjaro??......au atakuja Tanzania
Wakati sisi tunatumia mabilioni kukimbiza mwenge wenzetu wanatumia nguvu kidogo tu kujitangaza kupitia vivutio vyetu
Acha uongo ...! Kwa sasa Mwenge sio unaotuletea umoja ... Mwenge ni moja ya tools za ccm kujiimarisha madarakani kwa sasa ..Mwenge una faida nyingi sana....Kwanza unaimarisha umoja wa taifa kwani wanaoshiriki ni watu wote bila ubaguzi...lakini kubwa jingine ni kwamba unahamasisha maendeleo...wewe fikiria tu ni projects ngapi zinazozinduliwa wakati wa mwenge nchi nzima....Watu wanaopiga kelele kuhusu mwenge hawajielewi...mwenge wa uhuru unahamasisha watu kujiendeleza katika suala la maendeleo kiuchumi, kielimu, afya na kadhalika...The torch is a unifying 'symbol'....vijana wengi hawaelewi kabisa kwza kuwa wanadanganywa na wanasiasa....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]reality will strike,akienda botswana atapindishwa kichuguu kwa dakika 20 atastuka na kutafuta real kilimanjaro....wasamehe bure hata mtukufu alisema sadam ni rais wa kuwait na kiazi mmoja akasema mbele ya kamera za dunia kuwa tanzania ni muungano wa tanganyika na visiwa vya zimbabwe!!
Acha uongo ...! Kwa sasa Mwenge sio unaotuletea umoja ... Mwenge ni moja ya tools za ccm kujiimarisha madarakani kwa sasa ..
Kumbuka wana ccm mko less than 5 million ..., lakini mnalazimisha the rest of Tanzanians to participate in your superstitious rituals ..., wafanyakazi wa serikali wanalazimishwa kuchangia upuuzi huu na kuuabudu ...
This Mwenge thing was supposed to a voluntarily participatory thing ..., hapo ndio ungeweza kusema Mwenge unatuunganisha ...
Wanaoshiriki wote wanahamasishwa kuvaa nguo za chama cha majuha ..., Polisi wanatumika kutoa vitisho ili wananchi washiriki USHIRIKINA huu...
Kama jambo hili lingekuwa la hiari .., habari ya Mwenge isingesababisha madaktari na wafanyakazi wengine watiwe ndani kwa kutoshiriki mbio za Mwenge ...
Kitu kimoja tuu tunachoweza kujivunia watanzania ni lugha yetu ya KISWAHILI ..., full stop .. [emoji35]
wizi Grade AWizi huo
Bado nauliza mtalii anaetaka kupanda Kilimanjaro atafanya booking kwa travel agent wa Botswana? Anyway sijui hio biashara na sikujua kama touarists are that dumb.
Kwanini wanatumia tour operator wa Kenya na si tour operator wa Tz?Ndio, kulingana na sylabus za elimu huko Ulaya, sio wanafunzi wote wanasoma geography... sio kila mzungu anajua Tanzania iko wapi?
Unakumbuka suala la Ebola west Africa, wazungu wengi walifikiri ni Africa yote na watalii walipungua Tanzania.
Fact: wazungu wengi wanabook trip ya kupanda mlima kilimanjaro kupitia Tour OPerator za Kenya halafu wanawapa kazi Guides au Tour operator wa Tanzania..
Elimu Elimu Elimu
Kwasababu Tour operators wa kenya wanachangankia fursa zaidi kuliko wa tanzaniaKwanini wanatumia tour operator wa Kenya na si tour operator wa Tz?
Je na hili ni kosa la serikali?!Kwasababu Tour operators wa kenya wanachangankia fursa zaidi kuliko wa tanzania