Wadau..nimeitwa kwenye interview na hawa jamaa wa Mott Mc Donald....kama operation support assistant. Kwa mwenye info kuhusu hawa jamaa...anifahamishe na ofisi zao kwa hapa dar zipo wapi. Natanguliza shukrani.
Hongera Bwana!, Ingekuwa ni Dodoma ningekwambia nenda pale mackay house ndipo walipo. MM niliapply wamenitumia email kuwa sijaqualify so wameita wengne kwenye interview. Jitahidi ukaonyeshe uwezo mkuu
they are just consultants in general, responsible for projects/Programmes of which you may be assigned at on a specific project, but you might not be a permanent employee of Mott McDonald
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.