mkuu umeiona red rice ya xiaomi? sema wale jamaa hawatengenezi simu za gsm ila quadcore 130usd kwa manufacture ambaye ni trusted
Hii Hongmi(Red Rice) ina support GSM, kwa bei ya 130$ unapata 4.7" with 720p, 312ppi na gorilla glass 2, 4GB storage with card slot up to 32GB, 8MP camera hapa Xiaomi wamepiga bao, kuliko mtu kukimbilia Tecno bora anunue hii,
Back to Moto
Motorola wamejitahidi kurudi kivingine, tulizoea kuona exclusive moto device zmetengenezwa kwaajili ya Verizon mpaka hivi karibuni Droid Utra, Droid Mini na Droid Maxx zote ni kwaajili ya Verizon, pia google wametenga pesa kwaajili ya kuitangaza Moto X, they say Moto X inauwezo wa kutambua kua sasa iko mfukoni ama iko mkononi au iko katika Gari linalo tembea.
Sasa soko la Smartphone limehamia katika Software base, miaka kadhaa nyuma tulikua tunakimbilia simu zenye features kubwa kwa kuangalia ukubwa wa kioo,processor,RAM, Storage, Camera na vitu vingine lakini sasa soko ama ushindani umehamia katika Software based, Mfano Samsung anazindua simu mpya lakini tifauti na flagship ya zamani ni almost none, kikubwa kinacho badilika ni new features tu mfano Air Gesture, Eye scrolling na vinginginevyo, vile vele kwa HTC, LG, Sony na sasa Motorola.
Smartphone Game has changed
Safi sana
"Vox populi,Vox dei"
Motorola ndiyo simu zangu tokea kipindi kile cha L7, mpaka sasa naitafuta motorola XT610 ila bado sijaipata
mkuu umeiona red rice ya xiaomi? sema wale jamaa hawatengenezi simu za gsm ila quadcore 130usd kwa manufacture ambaye ni trusted
Nadhani kwa internationa pricing Faea F1 ndio cheap ina snapdragon s4 na inauzwa 160-170 usd, red rice hiyo bei ni ya China kwa international itakuwa zaidi
Hivi wanashindwa nini kuuza bei ndogo ili kushindana na mchina?ukizingatia zote zinatengenezwa hukohuko
mkuu material tofauti we hujiulizi why ukidondosha mchina kidogo tu screen inapasuka lla original haipasuki? pia processor original wanatumia qualcom au tegra na wachache intel wakati mchina yeye ni mediatek tu.
kuna vitu kama gorilla screen, internet ya 4g, lens za camera nzuri, storage kubwa ni vigumu kuvikuta kwenye mchina
Uko kama mimi mkuu toka c118, c139, L6 na L7 ingawa baadaye niliingia windows mobile ya Qtek na Htc lakini bado nina L7 yangu toka 2007 motorola nawafagilia tena hiyo kitu basi tu.
Samsung has the worst screen, tusiwasingizie tu wachina. Pamoja na gorilla glass screen za samsung ziko very fragile. Kwa hili nawasifu tu iphone na oppo. Alafu siyo mchina zote wanatumia mediatek japo ni nyingi hilo najua umepitiwa kwakuwa unajua za qualcom zipo nyingi tu mi naona ni ushindani na after sale support sababu Jiayu wanasifika kwa quality lakini price zao bado ni chini ya nyingine