NingaR
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 2,759
- 593
mkuu umeiona red rice ya xiaomi? sema wale jamaa hawatengenezi simu za gsm ila quadcore 130usd kwa manufacture ambaye ni trusted
Hii Hongmi(Red Rice) ina support GSM, kwa bei ya 130$ unapata 4.7" with 720p, 312ppi na gorilla glass 2, 4GB storage with card slot up to 32GB, 8MP camera hapa Xiaomi wamepiga bao, kuliko mtu kukimbilia Tecno bora anunue hii,
Back to Moto
Motorola wamejitahidi kurudi kivingine, tulizoea kuona exclusive moto device zmetengenezwa kwaajili ya Verizon mpaka hivi karibuni Droid Utra, Droid Mini na Droid Maxx zote ni kwaajili ya Verizon, pia google wametenga pesa kwaajili ya kuitangaza Moto X, they say Moto X inauwezo wa kutambua kua sasa iko mfukoni ama iko mkononi au iko katika Gari linalo tembea.
Sasa soko la Smartphone limehamia katika Software base, miaka kadhaa nyuma tulikua tunakimbilia simu zenye features kubwa kwa kuangalia ukubwa wa kioo,processor,RAM, Storage, Camera na vitu vingine lakini sasa soko ama ushindani umehamia katika Software based, Mfano Samsung anazindua simu mpya lakini tifauti na flagship ya zamani ni almost none, kikubwa kinacho badilika ni new features tu mfano Air Gesture, Eye scrolling na vinginginevyo, vile vele kwa HTC, LG, Sony na sasa Motorola.
Smartphone Game has changed