motorolla wazindua moto x

motorolla wazindua moto x

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,062
Reaction score
43,489
Miaka miwili iliyopita tulishuhudia moja kati ya jambo kubwa katika historia ya mobile technology, nalo ni kampuni ya Google kuinunua kampuni ya Motorola. Baada ya nunuzi hilo wengi wetu tukawa na maswali je Google ataweza kuiokoa Motorola na kufilisika? Miaka miwili ikapita bila kuonekana matumaini yoyote ya Motorola kusalimika, ila muda wa kusubiri sasa umeisha kwa mara ya kwanza google na Motorola wameungana na kutengeneza simu ambayo italeta mapinduzi makubwa kwenye Nyanja ya simu na simu hio sio nyengine bali ni MOTO X

080213_1241_Motoxsimump1.png

Simu hii ikija na kioo cha ukubwa wa inch 4.7 chenye resolution ya 1024x720 (720p) kinachotumia technolojia ya amoled, kioo hichi ni gorilla glass so hutakua na hofu ya kuvunjika kirahisi. Itakua na processor ya 1.7ghz krait ikiambatana na gpu ya adreno 320 na ram 2gb. Internal memory ni 16 au 32gb bila memory card na itakua na camera 10mp. Operating system ni android jelly bean 4.2
Je unataka kujua nini special kuhusu moto x??? endelea kusoma hapo chini

CUSTOMIZATION

Unapoongelea customization moja kwa moja watu android wanaanza kufikiria custom rom na go launcher lakini mimi simaanishi hivyo, customization ninayoongelea hapa ni ya hardware. Moto x unaweza ukaieka unavyotaka mwenyewe mara 504, japo si customization za kushtusha lakini ni bora ziwepo kuliko ziwe hazipo kabisa. Customization zenyewe ni uwezo wa kubadili rangi za simu(rainbow), kubadili storage(16/32gb), uwezo wa kubadili rangi inayozunguka camera na plate ya mbele.
080213_1241_Motoxsimump2.jpg

CAMERA

Moto x inakuja na camera ya 10mp ambayo si kitu cha kushtua sababu tumeshaona pureview ya nokia, ultrapixel ya htc na zoom ya Samsung je Motorola ana kipya? Camera ya moto x inatumia lens ya RGBC na wanadai wanatumia technology ya clear pixel ambayo ni superior katika kupiga picha ya mwanga mdogo. Camera hio itakua na flash na itachuku video full hd kwa frame 30 kwa sekunde. Kitu kikubwa ambacho nimekipenda kuhusu hii camera ni mode yake ya kutoka mfukoni hadi kupiga picha kwa sekunde 2 tu. Hii inatokana na kuopen kamera kwa mtingishiko. Mfano umeona kitu haraka-haraka unataka ukipige picha basi unaitoa huku unashake fasta unapiga picha

VOICE RECOGNITION

moja kati ya vitu vitakavyo kufanya ununue au usinunue hii simu ni uwezo wake wa kutambua sauti, simu hii itasikiliza sauti yako tu wewe mmiliki na sio mtu mwengine. Utaweza kuiamuru ifanye kitu chochote kwa sauti tu, mfano utaiambia 'call mum' basi itampigia mama yako. Simu hii 24/7 inasikiliza na inasikiliza hadi umbali wa mita 30 hapa inaleta mushkeli kidogo hasa kwa sie tunaowahofia nsa.
OPERATING SYSTEM

Japo simu nyingi zinatumia android lakini muonekano unatofautiana kuna skin mbali mbali kila manufacture anatumia kama vile Samsung wanatumia touchwiz, htc wanatumia sense na amazon wana yao ya kindle. Motorola wao yao itakua equivalent na vanilla android kwa lugha nyengine itakua haina manjonjo neat and clean.

Baada ya kuona vitu special vya Motorola tuangalie je inasimama vp na simu nyengine kubwa kama iphone5, gs4, htc one na lumia 1020?
Moto x imebase sana kwenye user experience na specs wise huwezi kuicompare na simu kama htc one na gs4 maana imepitwa sana, simu hii inaonekana ipo ligi moja na lumia 1020 na iphone 5, kwa specs. Je Motorola ataweza kushindana?

Simu imeanza kuuzwa marekani bei itakua ni Zaidi ya milioni kama itakuja bongo, je utanunua?
 
Nice Review mkuu, kwa bei hiyo washa nikosa atii
 
mkuu umeiona red rice ya xiaomi? sema wale jamaa hawatengenezi simu za gsm ila quadcore 130usd kwa manufacture ambaye ni trusted
 
mie hizi bei zinanisumbua sana, wangekuwa wanaandika bei halisi sio mambo ya plan
 
Motorola ndiyo simu zangu tokea kipindi kile cha L7, mpaka sasa naitafuta motorola XT610 ila bado sijaipata
 
mie hizi bei zinanisumbua sana, wangekuwa wanaandika bei halisi sio mambo ya plan

tatizo wateja wapo huko kwenye plan. wale wanaofocus africa na asia mbona wanaandika bei fresh. mfano tecno unaambiwa kabisa sh kadhaa
 
Kwa us price yake ni $199.9 kwa 16GB na $299.9 kwa 32GB
 
Miaka miwili iliyopita tulishuhudia moja kati ya jambo kubwa katika historia ya mobile technology, nalo ni kampuni ya Google kuinunua kampuni ya Motorola. Baada ya nunuzi hilo wengi wetu tukawa na maswali je Google ataweza kuiokoa Motorola na kufilisika? Miaka miwili ikapita bila kuonekana matumaini yoyote ya Motorola kusalimika, ila muda wa kusubiri sasa umeisha kwa mara ya kwanza google na Motorola wameungana na kutengeneza simu ambayo italeta mapinduzi makubwa kwenye Nyanja ya simu na simu hio sio nyengine bali ni MOTO X

080213_1241_Motoxsimump1.png

Simu hii ikija na kioo cha ukubwa wa inch 4.7 chenye resolution ya 1024x720 (720p) kinachotumia technolojia ya amoled, kioo hichi ni gorilla glass so hutakua na hofu ya kuvunjika kirahisi. Itakua na processor ya 1.7ghz krait ikiambatana na gpu ya adreno 320 na ram 2gb. Internal memory ni 16 au 32gb bila memory card na itakua na camera 10mp. Operating system ni android jelly bean 4.2
Je unataka kujua nini special kuhusu moto x??? endelea kusoma hapo chini

CUSTOMIZATION

Unapoongelea customization moja kwa moja watu android wanaanza kufikiria custom rom na go launcher lakini mimi simaanishi hivyo, customization ninayoongelea hapa ni ya hardware. Moto x unaweza ukaieka unavyotaka mwenyewe mara 504, japo si customization za kushtusha lakini ni bora ziwepo kuliko ziwe hazipo kabisa. Customization zenyewe ni uwezo wa kubadili rangi za simu(rainbow), kubadili storage(16/32gb), uwezo wa kubadili rangi inayozunguka camera na plate ya mbele.
080213_1241_Motoxsimump2.jpg

CAMERA

Moto x inakuja na camera ya 10mp ambayo si kitu cha kushtua sababu tumeshaona pureview ya nokia, ultrapixel ya htc na zoom ya Samsung je Motorola ana kipya? Camera ya moto x inatumia lens ya RGBC na wanadai wanatumia technology ya clear pixel ambayo ni superior katika kupiga picha ya mwanga mdogo. Camera hio itakua na flash na itachuku video full hd kwa frame 30 kwa sekunde. Kitu kikubwa ambacho nimekipenda kuhusu hii camera ni mode yake ya kutoka mfukoni hadi kupiga picha kwa sekunde 2 tu. Hii inatokana na kuopen kamera kwa mtingishiko. Mfano umeona kitu haraka-haraka unataka ukipige picha basi unaitoa huku unashake fasta unapiga picha

VOICE RECOGNITION

moja kati ya vitu vitakavyo kufanya ununue au usinunue hii simu ni uwezo wake wa kutambua sauti, simu hii itasikiliza sauti yako tu wewe mmiliki na sio mtu mwengine. Utaweza kuiamuru ifanye kitu chochote kwa sauti tu, mfano utaiambia 'call mum' basi itampigia mama yako. Simu hii 24/7 inasikiliza na inasikiliza hadi umbali wa mita 30 hapa inaleta mushkeli kidogo hasa kwa sie tunaowahofia nsa.
OPERATING SYSTEM

Japo simu nyingi zinatumia android lakini muonekano unatofautiana kuna skin mbali mbali kila manufacture anatumia kama vile Samsung wanatumia touchwiz, htc wanatumia sense na amazon wana yao ya kindle. Motorola wao yao itakua equivalent na vanilla android kwa lugha nyengine itakua haina manjonjo neat and clean.

Baada ya kuona vitu special vya Motorola tuangalie je inasimama vp na simu nyengine kubwa kama iphone5, gs4, htc one na lumia 1020?
Moto x imebase sana kwenye user experience na specs wise huwezi kuicompare na simu kama htc one na gs4 maana imepitwa sana, simu hii inaonekana ipo ligi moja na lumia 1020 na iphone 5, kwa specs. Je Motorola ataweza kushindana?

Simu imeanza kuuzwa marekani bei itakua ni Zaidi ya milioni kama itakuja bongo, je utanunua?
nimependa sana maelezo yako mkuu ,yameshiba ...ngoja nijipange
 
Mi nina plan na Galaxy tu. Ile Galaxy Note II imenigusa sana.
 
Kwenye suala la Camera nadhani bado sijaona mpinzani wa Nokia...
 
mh bei hiyo?
mbona cheap?
Au iyo bei ikoje

mkuu hio ni bei ya mkataba bado kuna malipo ya mwezi hapo.

bila mkataba ni usd575 kwa 16gb na usd 629 kwa 32gb lakini still sio unlocked nafkiri zikiza nchi zetu huku bei itazidi kuongezeka
 
umm..... Simu hio italeta mapinduzi??? What do you mean? No surprising feature and its expected to revolutionize the industry? Kama ulivosema mkuu, izo features ulizotaja sijui different colours ni vitu vya kawaida sana, nothing really new, na sifikiri kama imepindua chochote, still hawezi kuwa kitishoo kwa iphone wala samsung, we all know and cant deny, samsung is best android device maker hakuna cha htc one x wala cha xperia z, motorola wil remain the same kama ndo features ilokuja nazo ndo izo
 
mkuu hio ni bei ya mkataba bado kuna malipo ya mwezi hapo.

bila mkataba ni usd575 kwa 16gb na usd 629 kwa 32gb lakini still sio unlocked nafkiri zikiza nchi zetu huku bei itazidi kuongezeka
Asante kwa fafanuzi mkuu
 
Back
Top Bottom