Motorola Razr vs Moto G.

Motorola Razr vs Moto G.

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,337
Reaction score
2,907
Baada ya Chief mkwawa kutuwekea uzi unaoelezea smartphones zenye bei nafuu, nilishawishika kununua moto g japo haikutajwa kwenye orodha lakini nayo aliielezea pia. Leo katika katika pitapita kwenye maduka ya smartphones ndiyo nikaiona hi Droid razr. Razr specs zake ni kubwa ukilinganisha na Moto g. Kitu kilichonishutua ni bei maana inauzwa 330,000 wakati moto g inauzwa 400,000. Je kuna droid razy clone, hii chipset ya0TI OMAP 4430 ubora wake ukoje?
 
mbona hata hazifanan kaka hio ni simu ya android 2.3 ya kizamani, moto g ni simu ya kit kat, kioo chake ni qhd 540x960 wakati moto g ni hd 1280x760. wakati razr ina single core/dual core 1.2ghz moto g ina quadcore 1.2ghz, na sasa hivi hakuna gpu nzuri kama za adreno ambayo ni kama ya moto g.
 
Ila mkuu katika moto g kilichonirudisha nyuma ni ktk upande wa camera na upande wa network, haina 4g
 
mbona hata hazifanan kaka hio ni simu ya android 2.3 ya kizamani, moto g ni simu ya kit kat, kioo chake ni qhd 540x960 wakati moto g ni hd 1280x760. wakati razr ina single core/dual core 1.2ghz moto g ina quadcore 1.2ghz, na sasa hivi hakuna gpu nzuri kama za adreno ambayo ni kama ya moto g.

Asante mkuu kwa ufafanuzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom