S Shokolokobangoshey JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 311 Reaction score 82 Dec 9, 2013 #1 Habari zenu wana JF mimi nauza pikipiki yangu reg C aina ya T-BETTER iko kwenye hali nzuri sana na inafaa kwa bodaboda! Bei ni 1.4m na maongezi yapo pia. Kwa maongezi zaidi niinbox.
Habari zenu wana JF mimi nauza pikipiki yangu reg C aina ya T-BETTER iko kwenye hali nzuri sana na inafaa kwa bodaboda! Bei ni 1.4m na maongezi yapo pia. Kwa maongezi zaidi niinbox.
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,933 Reaction score 11,864 Dec 9, 2013 #2 ina miezi mingapi tangu uinunue tupia na picha.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Dec 10, 2013 #3 Picha ni janga la taifa kwenye hii kona ya matangazo madogo madogo
kisungu JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 788 Reaction score 266 Dec 10, 2013 #4 Tatizo ni picha kijana wangu