Motorcade ya Rais wa Marekani Obama !!

Lakini Siku ikifika faili likaitwa na mwenyewe na akaona ni saa njema kumrudisha hayo yote ni bure!!! heheehe
 
ya obama imetulia ila ya jk mara tairi limechomoka mara mafuta yamechakachuliwa mara wamegonga pikipiki hakuna umakini na barabara zenyewe hizi .... mmh
 
duhhh hivi kwnn wanalindwa hivi kwann kusiwe na msafara tu wa gari mbili au tatu Tz ni nchi ya amani
 

Pia nadhani kuiga kunawaweka vulnerable kwa wabunifu wa hizo style.Ni bora pia waje na style zao na kuendelea jifua zaidi ,pia wafanye simulations nyingi za matukio yanaweza fanywa katik kumdhuru rais au hata kiongozi mwingine yeyote.Pia kuhimiza mahusiano mazuri katika ya watawala na wananchi, kwani uhusiano mzuri katika ya hizi kada ni ultimate insurance.

Security is a moving and dynamic settings.Imagine mtu mwenye hasira ambaye katoka nyumbani kwa nia ya kudhuru na hajamwambia mtu nia yake na mlipuko.Hapa hakuna nasafi ya habari ku leak, labda ajibehave vibaya ila kwa kiasi kikubwa naweza fikia lengo.Hapa sijui kama gari la presidaa likianguka mtoni likiwa katik hizi mbio kama litamwacha hai.So dynamism na haiba ya rais kwa wananchi ni ultimate security win.
 
Gari ya obama mbona inaonekana kabisa..pole sana kama hulijui
 
Huyu wetu si lazima atoe kichwa nje kuchekicheki na kugawia watoto pipi
 
Utashangaa kumbe yeye ndo anayekuwa kwenye pikipiki akiongoza msafara.
 

Kweli kabisa!
 
Wetu hata akienda kariakoo alone hakuna atakae mdhuru

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hii hapa ni gari ya Mhe Rais Obama, utaipenda: The new Cadillac Cadillac Presidential Limousine was designed, developed and tested by specialists who adhered to an extensive set of specifications. It's official call sign is Cadillac One, but it will always be known as the Obamobile. This is the top - security armoured limousine which has been custom built to be Barack Obama's presidential car.It will travel with him wherever in the world he goes. As with previous presidential limos it is packed with electronic communication systems to allow Mr Obama to keep in contact with the outside world.One personal touch will be the remote-controlled ten-CD changer on which he can play his favourite artists, said to include Stevie Wonder and Bob Dylan.






Source:Cadillac Presidential Limousine (2009)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…