MOTOMOTO sms zatoka wapi????!!!!

Al Zagawi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Posts
2,528
Reaction score
1,626
wadau naomba kufahamishwa...

juzi nlipata sms katika line ya TIGO lkn ikisifia ZANTEL na jana katika line ya ZANTEL ikisifia AIRTELL...

katika kesi zote mbili sms imetumwa na sender ambaye jina halionekani bali neno MOTOMOTO.

je wadau kuna mwenye kufahamu kuhusu hii chakachua atujuvye?????:angry:
 
Hata mimi nimepata message hizi mkuu...

Isijekuwa ni yale yale ya wakati wa kampeni!
 
Mimi nataka kujya hawa MOTOMOTO number yangu (siyo ya Zantel) wameipata wapi na nani kawaruhusu kunitumia ujumbe (kupitia namba yangu) bila ridhaa yangu. Hii ni invasion of privacy na pia inaleta conflict of interest kati ya mimi na clients wangu. Wanijibu haraka, nawasiliana namwanasheria wangu punde.
 
hata mm nimeipata kaka, inawezekana wale wale wa kuchakachua
 
Hata nami nimeipata. Inaonekana kuwa hawa watumaji ni watu wa kati walioingia mkataba na kampuni zote hizo lkn wanazizunguka hizi kampuni kiaina.
 
Siku hizi kuna mbinu ktk business sijawahi ona.
Mimi sijazipata bado hizo sms.
na je zinapoingia huwa hazikati salio lako?
 
Hata mie nimepata moja ya zantel imeingia ktk tigo yangu na ya airtel ikiingia zantel zote za "MOTOMOTO" cha ajabu hiyo ofa ya zantel sisi wenyewe wateja wake hawajawahi kutuambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…