Sikutambua
Member
- Nov 16, 2014
- 46
- 5
Poleni Kwa Tukio Hilo, Pia Mwenye Taarifa Rasmi Hadi Sasa Atujuze Kuhusu Madhara Yaliyotokea Kwa Ujumla.
Itakuwa heater au pasi kutokana na muda wa tukio lilivyokuwa reported! Unakuta mtu ndo vile anataka kuwahi daladala, jana yenyewe ni weekend si ajabu hakulala hostel... anachukua pasi, fasta fasta... huku anakunywa chai huku ananyoosha baada ya hapo anatupia, huyooo... pasi kaiacha on!kama sio heater basi jiko,maana wanawake kwa kupika room hatujambo
hayo ndo matokeo ya mitaala mibovu ya elimu ya bongo haizalishi heroes jengo linaungua afu vijana wameshika viuno wanaangalia kama muvi ya anold
Tunashukuru kwa mvua kubwa inayoendelea kunyesha maana sasa utazimika faster kuliko wale Fire
hayo ndo matokeo ya mitaala mibovu ya elimu ya bongo haizalishi heroes jengo linaungua afu vijana wameshika viuno wanaangalia kama muvi ya anold
Ndugu hivyo vitu inawezekana kweli vipo ,je smoke detectors zinafanya kazi?Huwa kuna utaratibu wa kuzitest?Je fire extinguisher zina gas na zinafanyiwa services?Na je wanafunzi wanafundishwa jinsi ya kutumia hizo fire extinguisher?Hiyo mipira ya kuzimia maji ,je wanajua sehemu ya kuyafungua hayo maji.So usije kuta vitu vipo ila havifanyi kazi au hakuna aliyefundishwa jinsi ya kutumia incase kuna moto.Mkuu kweli kabisa. Halafu nnavyokumbuka kuna fire extinguishers , smoke detector pamoja na mipira ya kuzima moto kila ghorofa. Ndo tuseme hakuna anaejua kutumia vitu hivyo?
hayo ndo matokeo ya mitaala mibovu ya elimu ya bongo haizalishi heroes jengo linaungua afu vijana wameshika viuno wanaangalia kama muvi ya anold
Kupiga picha kwenye matukio ndo habar ya mujini cku hiz watu wakiona ajali au tukio lolote wanapiga picha kwanza wanatuma whatsup ndo wanaanza kutoa msaadaYani hao wanafunzi wa mabibo hostel wako busy kupiga picha badala ya kutoa msaada.
Kwenye hilo bweni
kuna aliye fanya uzinzi
kuamkia leo
Kiongozi mpe pole sana. Alikuwa na chumba au anabebwa tu?Pole kwa waathirika. Kuna mdogo wangu hapo ananiambia amenusurika kuungua.
Wananchi na wanachuo wanaonekana kushangaa na kuchukua picha badala ya jitihada za kuzima moto...Watoto hawa wapewe walau kaelimu kidogo juu ya fire fighting & drills...