Moto wazuka Hosteli za Mabibo

Moto wazuka Hosteli za Mabibo

hivi hapo hakuna fire extinguisher waanze kuzima hao vijana wenyewe kabla ya hao zimamoto kufika baada ya masaa mawili

Wanajua kuzitumia? Kwanza moto ukishakua mkubwa kama huo fire extinguishers zile haziwezi kuzima
 
Yani hao wanafunzi wa mabibo hostel wako busy kupiga picha badala ya kutoa msaada.
 

Attachments

  • 1426493188176.jpg
    1426493188176.jpg
    64 KB · Views: 603
Mimi naelekea hapo nikifika naelekea moto unakowaka kusaidia kuzima.Hayo mambo ya unawaka block gani ni kimahakama.
 
kama sio heater basi jiko,maana wanawake kwa kupika room hatujambo
 
Habari iliyorushwa hivi punde na kituo cha television EATV, zinaeleza baadhi ya mabweni ya wasichana wa chuo kikuu Dar es salaam campus ya mabibo yameteketea na moto... mwenye taarifa zaidi atujuze....
 
Tunashukuru kwa mvua kubwa inayoendelea kunyesha maana sasa utazimika faster kuliko wale Fire
 
Ee Munga tuepushe na kafara za wapenda madaraka huku mauaji ya albino huku mabasi na malori tutaponea wapi??
 
hayo ndo matokeo ya mitaala mibovu ya elimu ya bongo haizalishi heroes jengo linaungua afu vijana wameshika viuno wanaangalia kama muvi ya anold

mkuu huo moto sio wa kuufata na ndoo za maji au fire extinguisher za kilo 6.
 
Naona Watoa Kafara wamecharika sana kutuma matukio, blood suckers!
 
Back
Top Bottom