Ajali ya moto imetokea leo soko la samaki feri, umeteketeza upande ama mabanda kadhaa!
Wananchi wamejitahidi kuuzima ingawa inasemakana ukoaji wa mali haukufanikiwa sana.
Kikosi cha zima moto toka bandari na askari wa FFU walifika eneo husika baadae kidogo.