Moto wateketeza kilabu cha pombe eneo la Bunju B Dar es Salaam

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Habari wanaJF,

Moto umezuka na kuteketeza kilabu kimoja cha kuuza vinywaji eneo la Bunju B huku kukiwa hakuna jitihada za kuokoa mali yoyote iliyokuwemo kabla ya vikosi vya zima moto kufika eneo hilo.
 
Back
Top Bottom