Unaogopa kuichukuwa?Tunataka bandari zetu
Waarabu watajenga.Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeunguza Hoteli nne na nyumba moja ya makazi huko Paje Wilaya ya Kusini Unguja, Mkoa wa wa Kusini Unguja Zanzibar.
Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Kamanda wa polisi mkoa huo, Gaudianus Kamugisha jeshi la polisi linafanyia uchunguzi chanzo cha moto huo naye Mkuu wa Wilaya hiyo na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Rajab Mkasaba amesema kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa 6:00 usiku wa kumkia leo Julai 9, 2023.
Kwani iyo bandari yenu ata tuirudisheSafi sana, na bado, hadi mrudishe bandari yetu
Hawa wazungu wenye Hotel,ndio wamechukuwa bandari yako?Safi sana, na bado, hadi mrudishe bandari yetu
Hotel za wazungu,wajenge waarabu?Waarabu watajenga.
Unawadai wazungu,wenye Hotel?Tunataka bandari zetu
Chukueni au mnaogopaTunataka bandari zetu
Wajomba zetu waarabu watajenga. Huoni wamekuja kutufundisha mpaka namna ya kutunza misitu japo kwao ni jangwani?Hotel za wazungu,wajenge waarabu?
Umeona mbali. Kwa hii nchi ilivyo ya hovyo hili unalowaza linawezekana kabisa.Hebu ulizia ulizia hiyo hoteli haina nasaba na Alli karume KWELI!!?
Tunawapenda,vipi we hujisikii kutu love sisi!!?Mtuache wazanzibar