Moto wateketeza bweni la Shule ya Sekondari Edward Lowassa

JAMII-ASM

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
1,305
524
moto28(1).jpg

Bweni la wanafunzi katika shule ya sekondari ya Edwaed Lowassa iliyoko wilayani Monduli mkoani Arusha limeteketea kwa moto na wanafunzi zaidi ya 70 wa kidato cha kwanza wamelazimika kupewa likizo ya wiki moja baada ya kukumbwa na hofu iliyotokana na moto huo.

Mwalimu mkuu wa shule hiyo Bw Salum Selemani amesema moto huo ambao umetekeza mali zote za wanafunzi na majengo unaodaiwa kusababishwa na hitilafu ya umeme za ulianza saa nne usiku wakati wanafunzi wakiwa darsani na hakuna aliyejeruhiwa japo baadhi yao walikumbwa na hofu iliyosababisha wapoteze fahamu na kukimbizwa hosipitali.

Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Monduli ambaye pia ni mkuu wa wilaya Bw Fransis Miti amesema kwa sasa wanafunzi wote wako salama na wamefikisa hatua ya kuwapa likizo fupi ili waweze kutulia wakati jitihada kuwawezesha kuendelea na masomo zikifanyika.

Chanzo
: ITV
 
View attachment 319792

Kweli Rais Dr. MAGUFULI Kiboko KIUTENDAJI. Yaani Mtu Kapotea Ktk Siasa Na Masikioni Mwa Watu Hadi Sasa Inabidi Atumie Mbinu Za Kitoto Ilimradi Tu Jina Lake Kila Siku Liwe Linasikika Na Kuandikwa Ktk Media. AMA HAKIKA KIKI ZINATAFUTWA KWA NJIA NYINGI. Haya WAANDISHI WA HABARI JIPANGENI SASA TAYARI KWA ZIARA NA MZEE WA MATUKIO KWENDA HADI KTK HIYO SHULE NA HAKIKISHENI MNAMPATIA COVERAGE YA KUTOSHA. Watu ELIMU ZAO ZA KISANII NA ZA KIMAFIA WANAZITUMIA VIZURI SANA.
 
Umesahau jana wabunge wa ccm ndio walilitaja jina la Lowasa Bungeni wakiongozwa na Kairuki ?? Mateso yote mnayopitia sasa hivi sioni ni jinsi gani mtajitenganisha na Lowasa
 
Kweli Rais Dr. MAGUFULI Kiboko KIUTENDAJI. Yaani Mtu Kapotea Ktk Siasa Na Masikioni Mwa Watu Hadi Sasa Inabidi Atumie Mbinu Za Kitoto Ilimradi Tu Jina Lake Kila Siku Liwe Linasikika Na Kuandikwa Ktk Media. AMA HAKIKA KIKI ZINATAFUTWA KWA NJIA NYINGI. Haya WAANDISHI WA HABARI JIPANGENI SASA TAYARI KWA ZIARA NA MZEE WA MATUKIO KWENDA HADI KTK HIYO SHULE NA HAKIKISHENI MNAMPATIA COVERAGE YA KUTOSHA. Watu ELIMU ZAO ZA KISANII NA ZA KIMAFIA WANAZITUMIA VIZURI SANA.

umenifurahisha sana mpwa sana tu... sometimes ukitulia huwa unatoa madini ila sasa ukipandishaga mashetani ya kwenu unakuwaga wa aina yako tu
 
Kweli Rais Dr. MAGUFULI Kiboko KIUTENDAJI. Yaani Mtu Kapotea Ktk Siasa Na Masikioni Mwa Watu Hadi Sasa Inabidi Atumie Mbinu Za Kitoto Ilimradi Tu Jina Lake Kila Siku Liwe Linasikika Na Kuandikwa Ktk Media. AMA HAKIKA KIKI ZINATAFUTWA KWA NJIA NYINGI. Haya WAANDISHI WA HABARI JIPANGENI SASA TAYARI KWA ZIARA NA MZEE WA MATUKIO KWENDA HADI KTK HIYO SHULE NA HAKIKISHENI MNAMPATIA COVERAGE YA KUTOSHA. Watu ELIMU ZAO ZA KISANII NA ZA KIMAFIA WANAZITUMIA VIZURI SANA.
Uliosema hayana ukweli,tusubiri uchunguzi.
 
M

mpumbavu wewe.... Hilo tu ndo unakofikili paka ww
 
Back
Top Bottom