Moto wa CHADEMA wawaka Uganda



Petit ongelea tu ya TZ na UG haya ya Libya ni tofauti hata kama USA wana mkno wao katika yale maandamano lakini ki ukweli Libya uliyokuwa unaifahamu ilikuwa Tripoli na maeneo aliyotoka Ghadafi kwingineko hali ilikuwa mbaya sana!


Watanzania wote ni ndugu zangu na Affrika ni moja.
 
bora kuwa chini ya JK kuliko M7 ingawa wote ni ............
 

Lakini tayari wameshaionyesha duni kuwa Rais huyu hafai!!!!
 

Libya waliandamna kwa sababu ya utawala wa kiimla wa ukoo wa Gaddafi, kurithishana kama amabvyo inaanza hapa kwetu.

Kila kitu kuisingiza Marekani, yaani hata CDM walivyomsusia JK kwa wizi wa kura wa wazi nayo tuisingizie US. Migomo na maandamano haviwezi kuisha popote penye inequality kubwa kama hapa kwetu. Tutawasingizi US lakini chanzo ni uroho na ufisadi wa viongozi wetu.
 

Hivi unaelewa uchumi wa Libya?? Unaelewa maisha ya wananchi wa Libya? Libya is only considered developed country because of the Oil, Lakini benefit za utajiri huo wa mafuta zinaliwa na wajanja na hazimsaidii mwananchi wa kawaida. Pale resources za nchi zinapowafaidisha wachache, kiongozi yeyote anapoteza credibility kwa wananchi wake. Poor relationship kati ya viongozi na wananchi wao, ni opportunity kwa nchi tajiri ku-fulfill their own interest. Lakini kiongozi hawezi kulalamika kwasababu chanzo cha yote ni yeye kushindwa majukumu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…