VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Jana Wabunge wa upinzani wa nchini Uganda walitoka nje ya Bunge la Uganda wakati Rais wa nchi hiyo,Yoweri Kaguta Museveni,alipokuwa anaendelea kuhutubia.Tukio hilo lilitokea mara tu baada ya Rais Museveni kuyaita maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha nchini humo kuwa ni fujo.Wabunge wote wa upinzani walimsusia Rais hotuba yake hiyo ya kulizindua Bunge hilo jipya la Uganda linalooongozwa na Spika Mwanamke kama hapa Tanzania.Hali kama hiyo ilimkumba Rais Jakaya Mrisho Halfani Kikwete pale alipokuwa akizindua Bunge hili la kumi ambapo Wabunge wote wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA walipotoka nje ya Bunge wakati Rais Kikwete akiendelea kuhutubia.Nini hasa mantiki ya mambo haya? Kikwete na Museveni wamechokwa?
Jk na Museven hata machoni kwa wananchi hatutaki kuwaona kabisaaaaa!!!.Ningekuwa Mungu tayari mafaili Yao ningekuwa nilishayachoma moto siku nyingi
Jana Wabunge wa upinzani wa nchini Uganda walitoka nje ya Bunge la Uganda wakati Rais wa nchi hiyo,Yoweri Kaguta Museveni,alipokuwa anaendelea kuhutubia.Tukio hilo lilitokea mara tu baada ya Rais Museveni kuyaita maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha nchini humo kuwa ni fujo.Wabunge wote wa upinzani walimsusia Rais hotuba yake hiyo ya kulizindua Bunge hilo jipya la Uganda linalooongozwa na Spika Mwanamke kama hapa Tanzania.Hali kama hiyo ilimkumba Rais Jakaya Mrisho Halfani Kikwete pale alipokuwa akizindua Bunge hili la kumi ambapo Wabunge wote wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA walipotoka nje ya Bunge wakati Rais Kikwete akiendelea kuhutubia.Nini hasa mantiki ya mambo haya? Kikwete na Museveni wamechokwa?
jana wabunge wa upinzani wa nchini uganda walitoka nje ya bunge la uganda wakati rais wa nchi hiyo,yoweri kaguta museveni,alipokuwa anaendelea kuhutubia.tukio hilo lilitokea mara tu baada ya rais museveni kuyaita maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha nchini humo kuwa ni fujo.wabunge wote wa upinzani walimsusia rais hotuba yake hiyo ya kulizindua bunge hilo jipya la uganda linalooongozwa na spika mwanamke kama hapa tanzania.hali kama hiyo ilimkumba rais jakaya mrisho halfani kikwete pale alipokuwa akizindua bunge hili la kumi ambapo wabunge wote wa chama cha demokrasia na maendeleo-chadema walipotoka nje ya bunge wakati rais kikwete akiendelea kuhutubia.nini hasa mantiki ya mambo haya? Kikwete na museveni wamechokwa?
Siyo kila maandamano na migomo huwa na lengo jema.mengine ni mabeberu huandaa watu kwa manufaa yao.tafakar Libya waliandamana kwa sbb kipi kilipanda bei!? Walikosa fedha za elimu?,walinyimwa matibabu? Miundombinu ilikuwa duni?
Lakini ukweli wa majawabu ya maswali haya na mengine mengi n Marekani wanataka kunyang'anya nchi ya Libya haki yake ya kumiliki rasilimali zake,hususan MAFUTA.Pia tukumbuke kuwa Uganda tayari ina mafuta,huenda MAREKANI wamegundua kuyapata kwa mikataba ya Buzwagi imeshindikana kwa Museven,sasa wamewatengeneza kina Besigye kwa malengo yaleyale ya Benghaz.kwa nini nasema hv? Kwa sbb Museven hakukurupuka kuita wawekezaji wakati waganda hawajawa na ujuzi na taaluma ya mikataba ya malighafi hii,hivyo ilibidi akasomeshe vijana wa kignda kwa maandaliz ya faida ya taifa hilo.kwa mbinu hiyo wamarekani wamegundua kwa Museven mchana unageuka usiku kwao,cha msing kumuondoa tuweke akina Besigye,kwan wao wanahitaji kutawala tu.chonde wanajamii migomo na maandamano ktk nchi zetu tuyapime kwa wigo mpana,nyuma yake kuna watu wana agenda tofauti.tukishaanza chinjana wao huwa wako LONDON,NEW YORK,PARIS na kwingine kwa walowatuma kazi.