Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,086
Waswahili wana msemo wao kuwa ngoma ikivuma sana mwisho wake hupasuka
Mkuu, kwani chama hiki ni cha kigoma tu?Kiko Kigoma kutambikia kwa mama mzazi.
Dah! Mkuu. Haya bana
Wadau, kwa siku kadhaa kumekuwa na vuguvugu la chama kipya cha ACT kujiimarisha kwenye mikoa ya Katavi, Kigoma na Tabora. Katika vuguvugu hilo, tumeshuhudia mada kadhaa zikianzishwa humu JF kwa lengo la kunakshi harakati hizo. Binafsi nilidhani kuwa huo ndo mwanzo wa mabadiliko ndani ya siasa za upinzani nchini na nilitegemea kuwa harakati hizo zitaendelea kwenye mikoa mingine. Hata hivyo, mpaka sasa hali imepoa na hakuna dalili kuwa harakati hizo zitaendelea tena. Hali hii imenishtua na najiuliza, je ni kweli ACT ni chama makini cha Upinzani au ni mchezo wa kuigiza kama wafanyavyo CHADEMA?
Utakuwa umechanganyikiwa wewe. Kuna mahala nimeandika kuwa CHADEMA wanaigiza?Chabruma una matatizo ya akili. Chadema waigiza? Swala katiba kaleta nani nchini nakuwatoa watz matongotongo kuwa ni mbovu kama co chadema? Chadema wanaongoza nchi indirectly. Hiki ni chama kikubwa babu lao. Vijana tunakisupot kwa nguvu zetu zote kwa garama yeyote ile.
Kwani Mwl. Kaijage ndo msemaji wa ACT?CC : Mwl. Kaijage wa Kasulu.
Wenye akili tulijua tu....
Nadhani akili wanazo ila maarifa ndo hawana. Hawana tofauti na CHADEMAWanatumia nguvu nyingi sana kuliko akili
Utakuwa umechanganyikiwa wewe. Kuna mahala nimeandika kuwa CHADEMA wanaigiza?
Chadema imekukuna wapi usiku Wa leoNadhani akili wanazo ila maarifa ndo hawana. Hawana tofauti na CHADEMA
Mkuu, kwani chama hiki ni cha kigoma tu?
Chabruma una matatizo ya akili. Chadema waigiza? Swala katiba kaleta nani nchini nakuwatoa watz matongotongo kuwa ni mbovu kama co chadema? Chadema wanaongoza nchi indirectly. Hiki ni chama kikubwa babu lao. Vijana tunakisupot kwa nguvu zetu zote kwa garama yeyote ile.
Waswahili wana msemo wao kuwa ngoma ikivuma sana mwisho wake hupasuka
Utakuwa umechanganyikiwa wewe. Kuna mahala nimeandika kuwa CHADEMA wanaigiza?
Hizo ndo comments zangu hapo juu. Ni wapi nimeandika kuwa chadema wanaigiza?Umeandika mwenyewe na hujui ulichondika? Umesema je ni kweli act wako makini au ni mchezo wa kuigiza kama wasemavyo chadema. Refer properly your comments/writings
CHADEMA ni wahuni tu kama walivyo ACT, CUF na NCCRChadema imekukuna wapi usiku Wa leo
Mkuu, atakuwa amejimix tu huyoHizo ndo comments zangu hapo juu. Ni wapi nimeandika kuwa chadema wanaigiza?