Moto Umewashwa Na Rais Samia,Hakuna kuzima Mpaka Mashimoni

Adisi za Linacha hizo, Toka lini mtoto aliebebwa mgongoni akajua umbali wa safari
 
Ndugu zangu watanzania,

Rais Samia Ambaye anatajwa Kama kiongozi mwenye ushawishi zaidi Barani Afrika na anayechukuliwa Kama mtetezi wa waafrika wote Ameuwasha Moto,Amepiga kiberiti,Ni Moto unaowaka ,Ni Moto unatembea kuelekea kwa mafisadi,Ni Moto unakimbia.kuelekea kwa waliolitia hasara Taifa letu,Ni Moto kuelekea kwa wabadhirifu na wababaishaji,Ni Moto kuelekea kwa kupe wa Taifa ,Ni Moto umewaka hauzimi Wala kuzimishwa na yeyote, Ni Moto uliowashwa na mh Rais wetu na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama mh mama Samia suluhu Hassani.

Ni Moto uliowashwa kwa mkono wa Rais Samia ,Ni majuto kwa walioshindwa kutumikia viapo vyao,Ni kilio na majonzi kwa walio chezea pesa za umma ,Ni machozi na huzuni kwa waliogushi Nyaraka,Ni maumivu kwa waliojichotea pesa za umma bila huruma Wala aibu Wala kujali maslahi ya Taifa Wala kujali maisha ya watanzania wanyonge.

Tuendelee kuwa watulivu na wenye subira watanzania, Tuendelee kumwamini na kumuunga mkono Rais wetu, Tuendelee kumwombea Afya njema Rais wetu, hawezi kutuangusha,hawezi kutusaliti ,hawezi kuwachekea wezi ,hawezi kuwaacha salama wasio na huruma na pesa zetu ,hawezi kuwavumilia waliokosa uzalendo na Taifa letu.Hawezi kutukatisha Tamaa watanzania,hawezi kuzipuuza sauti za mamilioni ya watanzania,hawezi kuacha mambo yapite hivi hivi ,hawezi kuacha machozi ya watanzania yakawa Kama ya samaki ziwani au baharini.

Rais Samia kachukia ,kafura kwa hasira juu ya wale walioshindwa kutimiza matarajio na kutumika kuwahudumia watanzania na kulitetea Taifa letu kwa kulinda Mali zetu,Sasa ameinuka amenyoosha mkono ,mkono wa mamlaka ,mamlaka ya Urais, Sasa haangalia Wala kumwangalia mtu usoni.

Ni tetemeko linalotetemesha mioyo ya wasaliti,mioyo ya waliopola Mali zetu na kushindwa kuwa waaminifu, Moto unaowaka,ni Moto unaoleta Tabasamu na matumaini katika mioyo ya watanzania,Moto unaowafuta machozi watanzania Wavuja jasho Wa Taifa letu,Moto unaoleta mwanga na Nuru katika mioyo ya wengi.

Songa mbele Rais wetu watanzania tupo bega kwa bega na wewe,usiteteleke Wala kuyumba ,acha Moto uwawakie na kuwafikia wote waliohusika,chapa kazi Rais wetu watanzania wanayo Imani kubwa Sana na wewe,usiwaangushe maana wamekupa Imani yote, sisi tupo na wewe Rais wetu na tuna endelea kukuombea Sana.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Hii namba umeweka ya nini??
 
Sina hata mengi kilichoibwa kirejeshwe kwa nguvu yoyote ile hata kwa 75% poa tu, kikasaidie katika projects zingine!
Adios Amigos!
FB_IMG_1680935251658.jpg
 
Hapo nimepata utata kwamba lengo lakuweka jina na namba ya simu ni nini?
 
Lucas mimi ninatofautiana sana na wewe kuhusiana na maoni kuhusu sifa za kiongozi thabiti, shupavu, jasiri, makini na mwenye uthubutu kuchukua hatua stahiki kwa wakati sahihi. Nifanya hivyo kupitia vigezo vinavyooneka kupitia njia na hatua mbalimbali anazozichukua kupambana na changamoto za maisha na hatimaye kuja na majibu yenye kuridhisha kutokana na uwezo wa kifedha kuendana na ibajeti iliyopitishwa na serikali anayoiongoza.

The bottomline katika hili ninaloliamini ambalo na pia ndiyo ukweli wenyewe, ni hatua kabambe anazozichukua ili kulinda rasilimali za umma zipate kuleta tija kwa wananchi waliokuwa wengi anaowaongoza na wala si kwa manufaa ya makada wachache wa chama chake. Ninachokihitaji kutoka kwake ni yeye kuchukua njia sahihi ya kuweza ku "control demage" kupitia "deterrence or pre-emptive measures" zaidi, badala ya "reactive measures" ambazo ndizo hasa zinapelekea CAG kuja kila mwaka na ripoti ya uchunguzi yenye kusheheni madudu mengi kama hii ya mwaka huu.

Natambua ni haki ya mtu kuangalia ujazo wa chupa ya kimiminika kwa kile akishuhudiacho. Dhana ni ama imejaa nusu ama ni nusu tupu, ingawaje utupu ama ujazo nusu ni hali ya kutaka kuelezea ukweli kupitia njia za "negativity or positivity". Lakini kwa upande wangu ni kutathimini kwa njia ya "positivity" na pia ndiyo hasa ninayoithamini.

Kwa hiyo hizo ngonjera sijui kuhusu hayo unayoyasifia ni kama unataka kuangalia ujazo wa chupa kupitia hoja za unusu wa utupu wake. Mimi ninaamini chupa ina kimiminika nusu na ninahitaji hoja zenye mantiki kujengwa kupitia unusu wa ujazo wa kile kimiminika kinachookena ndani ya chupa.
View attachment 2582817
 
Ni kweli kabisa chupa ya maji ipo nusu kupitia ama utupu wake au pia wingi wa maji yaliyopo ndani yake.
Screenshot_20230410-072404.jpg
 
Pesa anazowalambisha asali wapinzani wake anazitoa wapi kama sio hizo zinazotia hasara taifa?

Ifike mda na yeye atupishe.
 
Back
Top Bottom