Moto mkubwa unawaka maeneo ya Kinyerezi

Moto mkubwa unawaka maeneo ya Kinyerezi

No kweli moto unawaka mpaka mda japokua umepungua kidogo tofauti na mwanzo lkn ni maeneo ya bangulo km unaenda mnada wa ng'ombe kwa juu miliman mi nipo pugu nimeuona huo moto mkubwa lkn chanzo chake sijakifaham
Mkuu tupe taarifa maana wewe upo karibu zaidi na eneo la tukio
 
Back
Top Bottom