Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,845
- 52,251
Is there anything blocking you?
Babu this is too personal to expose it here...
Is there anything blocking you?
MziziMkavu, Mama ni mama na acheni aitwe mama. Anajinyima vingi na kuhatarisha hata maisha yake ili Tuzaliwe, I LOVE MY MOM
Wamama ni MASHETANI wanaofanana na wanadamu..
Kuna kipindi mnakuwa na ulimwengu wa peke yenu mama na mtoto aliye tumboni tu!
Unaongea nae naye kama ana respond kwa ku kick au ku move limbs zikatuna tumboni,akikuumiza unapapasa hiyo sehemu huku unamwambia asogee kidogo anakuumiza mara hakoo kanasogea like kameelewa! Uwiiii! Umama raha sana!
Kuna kipindi mnakuwa na ulimwengu wa peke yenu mama na mtoto aliye tumboni tu!
Unaongea nae naye kama ana respond kwa ku kick au ku move limbs zikatuna tumboni,akikuumiza unapapasa hiyo sehemu huku unamwambia asogee kidogo anakuumiza mara hakoo kanasogea like kameelewa! Uwiiii! Umama raha sana!
Babu this is too personal to expose it here...
is there anything blocking you?
I will be happy if you'll aggree my offer of taking you to the motherhood empire. Please say yes
Really???