Most Legendary President, John Pombe Magufuli


Amongst all his predecessors John Pombe Magufuli stands out as the most legendary President who toiled his blood for Africans, Tanzanians particularly to benefit from their natural wealthy and resources and that one alone made him a lot of enemies, He nullified the Mangungo wa Msovero contracts down from those who took us for a ride with our tanzanite at Mererani, Manyara Region, Diamonds from all the mining center at Buzwagi in Geita,

Bulyanhulu and Nyamongo at North Mara in Mara Region and all the way to the mighty geita gold mining! he dared the imperialist without fear, He held a knife on their neck atleast by now we can breath and have a little share, with that alone he outshines many black silly president who sell their countries to those who enslaved us,viva John Pombe Magufuli a hero whose shadow never goes dim, you rest in power, rest in peace Chuma.

Do you remember a hashtag,

#WhatWouldMagufuliDo?

John Pombe Magufuli decisions mostly favoured the poor, maamuzi ya Rais John Pombe Magufuli yaliwaangalia zaidi wanyonge and Watanzania tunamkumbuka, Tanzanians John Pombe Magufuli dearly

Usually people who are elevated to such high positions do forget the poor and vulnerable people,Watu wanaopata vyeo vikubwa au madaraka makubwa Mara nyingi wanawasahau wanyonge na kuambatana na matajiri, hili halikuwahi kutokea kwa Rais John Pombe Magufuli.

President John Pombe Magufuli has inspired leaders,especially from Africa to eulogise him as a hero. His passion and decisions to fight for economic prosperity and freedom of faith in Tanzania from foreign exploitation and internal socialism real made Most African leaders to name him "Muammar Ghadaf succesor" "A true Pan Africanist after the departure of Muammar Ghadaf" "A true son of Africa"

I am John Pombe Magufuli student who learned that the problems of Africa can be solved by Africans themselves and not foreigners. President John Pombe Magufuli believed it and I learned it from him,however, there are some Africans who still think that foreigners are best suited to solve Africa’s problems, which is not true, I urge them to emulate the late President John Pombe Magufuli.

President Magufuli as scientist,a PhD holder in Chemistry, shocked the world, after supporting local scientists be heard on the global scene, did not limit the fight against virus to science, but publicly engaged the population to apply their individual faith to resist the fear and intimidation,

Which came with Covi-19 global propaganda and the thing worked for Tanzanians, Although President John Magufuli focused on the people of Tanzania and paid little attention to the unification of Africa as what Mwalimu Julius Nyerere pioneered when he started with the Union of Tanganyika and Zanzibar before engaging the whole Continent of Africa, his contributions here in Tanzania will always be remembered.

We remember you Champion of Pan Africanism, John Pombe Magufuli. Champion of pan-Africanism, hard working brother, a friend, a colleague,a visionary ally. Champion of regional cooperation in the East African region and a committed Pan Africanist leader. President John Magufuli inspired most African leaders, especially from Africa to eulogise him as a hero.Ahsante kwa Utumishi wako uliotukuka kwa Taifa letu la Tanzania, nimalizie kwa kusema kumpenda John Pombe Magufuli hakuondoi heshima ya mtu yeyote.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management

Recent Publication;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
THE ICON JPM.
 
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa CHADEMA kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

CHADEMA wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la CHADEMA ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu JamiiForums lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza CHADEMA ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na CHADEMA kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa CHADEMA wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lissu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya CHADEMA wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

CHADEMA wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama, mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame (orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )? Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

BAVICHA na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya CHADEMA ni Mbowe na Tundu Lissu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.

Kuporomoka kwa CCM wataulizwa Samia na Chongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa CCM kwa sasa.

Kwanini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli?
 
Huko kabur lake lilipo wapelekwe SUMA JKT.

Hata kivuli chake kikionekana watwange risasi arudi kaburini.

Mungu aliona mbali kutuondoshea huyu mtu.

na akakuachia maisha ngumu izae na wewe,mungu hayuko fair.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom