Umenena vyema. Akili za kimaskini Siku zote ni fupi sana. Hatufikirii strategically, tunawaza leo leo tu.Umasikini ni mbaya sana
Maana kila kitu unaona ni gharama,
Mtoto anayesoma Feza International
Akifika anapewa vitabu vyote, madaftari kila yakiisha, kalamu anapewa, nguo anafuliwa
Shuka anapewa
Darasani wanasoma wachache sana na kila somo unahama darasa na kwenda darasa la somo husika
Wana ECA ya arts, music, cooking (girls only) IT
Mwalimu anapewa wanafunzi wake anawafatilia, mwalimu anatembelea nyumbani kwa mtoto kuongea na wazazi
Kuna mengi sana hufanywa na hizi international School na ndio maana watu wanalipa 10000+ dollars ili mwanae awe pale
Lazima tukubali kua Kuna shule zinaandaa rulers na zingine the ruled
Thubutuuuuu. Mkuu hadi hapo wanaosoma hizo shule sio watoto wa kajamba nani. Hao tayari washaandaliwa maisha wanasoma wanamaliza position zao wanazikuta. Hakuna anayeenda kufundisha tandahimba hapoAfuu akitoka hapo analipwa mshahara laki 4 kwa mwezii... haa ha ha..!!
wazo zuri shida waalimu na vitendea kazi havipohivi hatuwezi kuweka hio Cambridge curriculum kwenye hizo shule za kawaida??? msione wazazi wako tayari kulipa hela nyingi ni sababu wanataka watoto wao wapate elimu yenye kiwango cha kimataifa,to close the gap waziri wa elimu angeintroduce hii kitu kwa shule za kawaida,then fees itashuka na kuwa fair kwa wote(wanaopeleka private na wanaosoma kwenye shule za kawaida.
hakuna , sema kuwa MaCEO wa kampuni zao au za kimataifa, uwaziri au urais kwa africa ni kazi za fitina na majunguNahisi wanaosoma hizi shule wana uhakika wa kuwa Marais au mawaziri...
Lugha mkuuHapo ukisoma inajieleza vzr.... Kwa mwaka
Teh teh teh [emoji38] umetishaanamaliza shule ana ugonjwa wa kisukari na presha.Unaanza kumpeleka tena INDIA APOLLO he he !unaanza na hela na unamalizia na hela
mitaa ya riverside sioJanuary napeleka mwanangu Atlass hapo ,akirudi uswazi anaonekana wakishua
Primary School. Lakini mtoto anataka akiwa safi upstairs ,Hii ni primary au? Kwa kweli Feza kwa curriculum yetu ni matawi mengine. Mzazi anayejua umuhimu wa exposure atampeleka.
Hakuna kitu kama hicho, jana nimepeleka wadogo zangu form one elimu bure Mzazi unaambiwa kwenda na ndoo ya lita kumi kwaajili ya kukalia hakuna viti, walimu wa sayansi pia hakuna....Nahitaji kutafiti kubaini ni mawaziri na manaibu wangapi watoto wao Wanasoma kupitia elimu bure Ni wabunge wangapi watoto wao wananufaika kupitia elimu bure Ni makatibu wangapi wa utumishi wa umma watoto wao wanasoma kupitia elimu bure Hebu tufanye utafiti wa hili
Umeongea mkuu unastahili kutunukiwa!!Ila hzo shule watoto wake wanaosoma wanakuaga ma genius,..achana na u genius wa kukariri huu wa saint kayumba,..hawa madogo mfano wa hyo IST,..wanakuaga wanajua mambo meng sana,hata umchukue mtoto wa primary ukae uongee nae maswala yenye mantik,atakustaajabisha,so ukute sasa ana akili za kuzaliwa ndo utakubal..
Hapa kazi tuHakuna kitu kama hicho, jana nimepeleka wadogo zangu form one elimu bure Mzazi unaambiwa kwenda na ndoo ya lita kumi kwaajili ya kukalia hakuna viti, walimu wa sayansi pia hakuna....
Hapa kazi tuHakuna kitu kama hicho, jana nimepeleka wadogo zangu form one elimu bure Mzazi unaambiwa kwenda na ndoo ya lita kumi kwaajili ya kukalia hakuna viti, walimu wa sayansi pia hakuna....
Na hapo utakuta mutu Ana watoto 6 anawasomesha.Kwa mwaka mkuu. Yaani unalipa 65m per year.
Kwa kweli nakubaliana na wewe. Dunia imebadilika, tunapoelekea huko mbele, vyeti havitaangaliwa tena bali exposure ya mtu, communication skills, confidence, nk. Yaani wanasema 'soft skills' maana kila mtu cheti anacho.Primary School. Lakini mtoto anataka akiwa safi upstairs ,
Ni makazi ya wenye hela. Mabarozi nawafangakazi wa kimataifa. Mtanzania wa kawaida haweziMost of these schools are situated in Dar and Arusha. What is the implication on these two regions? ISM have a campus in Arusha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo kwa mwaka au mpka akimaliza elimu yake