ULIMI MKUBWA
Senior Member
- Mar 27, 2016
- 195
- 182
Hapo ukisoma inajieleza vzr.... Kwa mwakaHiyo kwa mwaka au mpka akimaliza elimu yake
OkHapo ukisoma inajieleza vzr.... Kwa mwaka
Kwa mwaka mkuu. Yaani unalipa 65m per year.Hiyo kwa mwaka au mpka akimaliza elimu yake
Hatar snaKwa mwaka mkuu. Yaani unalipa 65m per year.
Mkuu ,hii shule hua naiona tu pale isamilo kwa nje,emu nipe habari zake kidogoGo back and do research the second expensive school in Tanzania is Isamiro international School situated in Mwanza.
Kumbe hata hajazaliwaHzo ndo shule nazo taka kumpleka mwanangu akizaliwa,