Mtaje kaka na sisi tunufaike na ufanisi wakeClearing agents wengine wanakula na watu wasio wahaminifu TRA. Kwa kweli nchi yetu kuna mambo mengi yanatia kinyaa hasa kama umewahi kwenda nchi zingine na kuona jinsi watu wanavyofanya mambo. Professionalism kwetu ni zero. Kila mtu anaangalia jinsi ya kupata viela vya 5ok, 100k za kunywa tu bila kujali mteja anavyoumia. Kuna clearing agent nilishamtupia hela baada ya kuona ananjaa kali kwa kusema uongo wa kijinga.
Nilimpata mwingine ambaye ni mzuri kwa magari kama documents ziko sawa ni mzuri lkn ni wachache wazuri kuwapata bongo
Clearing agents wengine wanakula na watu wasio wahaminifu TRA. Kwa kweli nchi yetu kuna mambo mengi yanatia kinyaa hasa kama umewahi kwenda nchi zingine na kuona jinsi watu wanavyofanya mambo. Professionalism kwetu ni zero. Kila mtu anaangalia jinsi ya kupata viela vya 5ok, 100k za kunywa tu bila kujali mteja anavyoumia. Kuna clearing agent nilishamtupia hela baada ya kuona ananjaa kali kwa kusema uongo wa kijinga.

Kwa maada hii, ningependa kufahamu maoni ya Wahusika kuhusu companies au independent Clearing & Forwarding Agencies zenye sifa tofauti ili wadau tupate picha kamili kuhusu uwezo na mapungufu ya kampuni au agents waliyo kwenye biashara hii ili Wadau tuwe na picha kamili ya nani anafaa na nani wa kumkimbia.
Mkuu,Tatizo wabongo tunapenda Bei rahisi,,,
Nendeni kampuni za logistics za kueleweka dunian muwape kazi,,,, wakizingua mnawacharge wao..
1. KUHNE + NAGEL ipo dunia nzima na inafanya shughuli zote za logistics so hata bongo wapo
2. DHL nao wanafanya mambo yote na Bongo wapo
3. BOLLORE AFRICA LOGISTICS wale wanaoimiliki AMI ICD na SDV nao wanafanya shughuli zote hadi clearance...
Ukitaka uhakika nendeni kampuni za kueleweka wakufanyie kazi japokuwa gharama zao ni kubwa na hawataki longo longo hakikisha documents zote unapeleka wakati sahihi uone kama watashindwa kufanya...
Through my Experience Kuhne + Nagel na SDV ni wazuri sana tatizo lao wanafanya clearance za makampuni tu yaani mizigo mingi,, kama una kagari chako kamoja sijui kontena la moja au mawili Sizani kama wanakubali,,,, ila jamaa hawana longo longo
Hizi kampuni kubwa hazitaki usumbufu na wewe mteja we unapeleka document na una confirm tu wakati wa Declarations kama kodi ipo hivi... Then wanakulipia kila kitu Wao baada ya Kazi yako kuisha umeshapata hadi mzigo wako Ndo unaletewa Invoice ufanye malipo yote hadi waliyokulipia wenyewe...
Na kutokana na style hii hawafanyi kazi na wateja wadogo wasioeleweka,,, lakini Ni wazuri vibaya mno,,, kama unataka uhakika nenda kampuni zenye reputation kwenye logistics industry duniani