Most corrupt countries in Africa (surprised Kenya is not number 1)

Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,356
7,992
Somalia, South Sudan, and Guinea-Bissau were seen as the most corrupt, according to Transparency International’s index.
Here is the list from least corrupt to most corrupt
The number represents the country's corruption perception score

Nigeria 28
Guinea 27
Mozambique 27
Cameroon 26
Gambia 26
Kenya 26
Madagascar 26
Uganda 25
Comoros 24
Zimbabwe 22
DRC 21
Burundi 20
Central African Republic 20
Chad 20
Republic of Congo 20
Angola 18
Eritrea 18
Guinea-Bissau 16
South Sudan 11
Somalia 10
Africa is home to only one fully fledged democracy
 
Subiri waje wakuulize source ya habari maana Tanzania haipo.

Tanzania ipo, ukifuata hiyo link aliyoweka jamaa. Lakini chan kushangaza mbona hizo tumbua tumbua hazifui dafu, kuna nini nyuma ya pazia. Maana index yenu mumeshuka moja, ina maana nyie ni mfupa uliomshinda fisi maana Magu anatumbua kila uchao lakini bado mafisadi mpoooooo.
 
Your empty words mean nothing. Hatuwezi kuwa kwenye levo zenu, you and your fello naijas are the Champions,
In fact it was supposed to be 1.Nigeria
2.Kenya
comparing tz with Kenyans is like comparing heaven and hell, Kenyans are thieves from the core.
Tunaweza do a case study of that SGR of yours. Kuanzia gharama za ujenzi wa reli hadi ununuzi wa locomotives (repainted Jurassic versions)..
Maaanina. Mtalipa hilo deni hadi mkome. Wajanja washawala.
tapatalk_1477781583072.jpeg
 
View attachment 463859

Haya mambo hufanywa kisayansi na sio dezo za kijiweni. Halafu kwa Tanzania wanaweza kuwa hawakupata data maana nyie hamfahamiki kwa lolote duniani zaidi ya milegezo ya bongoflavo. Lakini kwa tunaowafamu vizuri mlifaa kuwa top maana matapeli sana nyie.

Nchi mna kila aina ya raslimali lakini maskini wa kutupwa maana mnaliwa kwa ushirikiano wa baadhi yenu mafisadi. Wengine hamna hata huruma hela za misaada ya tetemeko la ardhi mlitafuna zote na kuwaacha wahanga wajijengee mabanda yao.
 
weweeeeee.... pesa za tetemeko hatujatafuna... tuliwajengea wahanga ma-hospital, mashule, mabarabara n.k

zingine tuliwagawia mabati na simenti baadhi ya wahanga...
 
Mauritius Full democracy....................... sidhani humu kwa ngozi nyeusi!
 
Back
Top Bottom