Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,446
- 3,319
Ivi huyu alienda bungeni kufanya nn, mbona sijawahi kumsikia hata siku moja akichangia hojaBonnah KaluaView attachment 1484473
Wapo na wabunge wa majimbo mkuu mfano Matiko na BonnahUnaamaanisha viti maalumu ndo warembo wengi wanapatikana!? Why?
Hapo Upendo Peneza anawazidi wote.
Umemtendea haki kuwa No.1
Niliwahi kumuona kabla hajawa Mbunge ni Mzuri mno mno.. halafu ni wale wa Dada wasiopaka Mavitu usoni.. hata Wanja, lipstick hapaki.. yupo Natural sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo orodha Kama hayupo Esther Bulaya ni orodha feki na unapaswa kufungulia kesi ya uhujumu uchumi.
Esther Bulaya koKote uliko jua Kuna raia wako anakupenda.View attachment 1484479
Ooooh!!! Okey.Ni msabato, wasabato hawapendelei sana kujipakapaka mavitu usoni
Na uzee wake humfikii hata nukta.Mbona mzee?
Na uzee wake humfikii hata nukta.
Utakuwa mwanamke kikaragosi wewe.
TobaHapana, mimi ni Mwanaume, wewe je, ni Mwanamke au Mwanaume?