Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,251
- 44,586
Tishio la Netanyahu kwa Iran jana kuwa hakuna mahali popote ndani ya Irani ambapo "mkono mrefu" wa Israeli hauwezi kufika. Walikuwa wanamaanisha Ayatollah Khamenei na uongozi wote wa Iran unafikika.Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.
Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....
Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
Sio kila arab news za kuziamini.Mkuu sio taarifa zangu....Ni arab News....jaza zako basi kuziweka sawa.....Taarifa ya hakika....Jamaa amekufa.....na kwa upande wa Imani anafurahia mabikira 72! Hizo hazina ubishi....
Wana traitor ndani ya kundi, tena sio mmoja, na shughuli ya kutafuta mchawi it's not easy.Maana kwasasa hakuna namna.
No way out for Hizbollah.
Kwa hilo siwezi kubisha kwasababu Iran ina wayahudi takriban laki nane waishio kama raia wa Iran.Tishio la Netanyahu kwa Iran jana kuwa hakuna mahali popote ndani ya Irani ambapo "mkono mrefu" wa Israeli hauwezi kufika. Walikuwa wanamaanisha Ayatollah Khamenei na uongozi wote wa Iran unafikika.
Umekuwa muungwana sana Sheikh! Kuukubali ukweli sio udhaifu bali ni ujasiri. Kiukweli IDF wameupiga mwingi this time.Wacha tuone ni nini kitafuata.
Kwasasa sina cha kusema ni kusubiri muda uamue.
Japo nikiri kuwa Mossad kwa awamu hii ameupiga mwingi ninyooshe mikono kwa sasa🙌🙌🙌🙌🙌🙌.
Wacha tuone nini kifuatacho.
Kuna Mlebanon anawauza wenzake.Wana traitor ndani ya kundi, tena sio mmoja, na shughuli ya kutafuta mchawi it's not easy.
Kama Mossad wana intel za movement ya Nasrallah na makamanda wale wote wa Hezbollah, si la kushangaza wakawa wanafahamu silaha zao zilipo.
Sio kila arab news za kuziamini.
Kuna trusted source sio kila source ni validated source.
Hayo mambo ya bikra 72 yanaingiaje?
Turudi katika mada acha makando kando.
Hakika.Umekuwa muungwana sana Sheikh! Kuukubali ukweli sio udhaifu bali ni ujasiri. Kiukweli IDF wameupiga mwingi this time.
Mossad toka mwanzo imewaweka hadi mashehe na maimam wayahudi... wanaenda na kuswali swala tano na wengine wanaenda hadi Hijja... mission yao ni kukusanya taarifa kabisa. Kama mnamkumbuka hata yule kiongozi wa ISIS alidaiwa kuwa ni Myahudi na baadhi ya watu..Kwa hilo siwezi kubisha kwasababu Iran ina wayahudi takriban laki nane waishio kama raia wa Iran.
Na wengine wamo hadi katika serikali ya Iran.
Sasa huwezi jua hao hao kumbe ndio Mossad.
Mungu hawez geuka maneno yake yeye mwenyewe ,Mungu sio kigeu geu ,tangu enzi za Ibrahim,isaka na yakobo aliwapa ahadi ya kulaani watakao walaani na kiwabarik watakao wabariki,,hivyo upande wangu Kwa kuegemea Imani yangu iloonuesha kabsaa Kuna jitu litapigikaDah kwakweli hisbullah wametuangusha wengi ambao tupo against na israel wauaji wakubwa wa watu wasio na hatia ila hata iweje mtu muovu Allah hatamuacha afanikiwe kwa siku zote
nasraaa alikuwa mjinga sana, ni mfano tosha wa kobazi wanaopiga sana domo wakati hawana nguvu yeyote. mioyo yao imejaa uchafu mtupu.Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.
Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....
Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
Humu ndani hizo mada za Iran na ulipizaji kisasi kambi za Iraq tulijadili sana na kukatoka uthibitisho Iraq USA kuna maafa yalitokea kwa askari wake.Toa trusted source basi....Drive ya Hezbolah ni ya kidini....Ideology yao yote imesimama Kiimani....ndio maana nasame yeye kafa na hana cha kupoteza....anafurahia bikra 72....
Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.
Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....
Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
Wana traitor ndani ya kundi, tena sio mmoja, na shughuli ya kutafuta mchawi it's not easy.
Kama Mossad wana intel za movement ya Nasrallah na makamanda wale wote wa Hezbollah, si la kushangaza wakawa wanafahamu silaha zao zilipo.
Rais wa Palestina wa Sasa ametokea Familia ya Kiyahudi iliyosilimu... Wayahudi hawaachi Asili hata Miaka 2000 ipiteMossad toka mwanzo imewaweka hadi mashehe na maimam wayahudi... wanaenda na kuswali swala tano na wengine wanaenda hadi Hijja... mission yao ni kukusanya taarifa kabisa. Kama mnamkumbuka hata yule kiongozi wa ISIS alidaiwa kuwa ni Myahudi na baadhi ya watu..
Hezbollah ametangaza vita na Israel, wametangaza kulipa kisasi ngoja tuone.Kuna Mlebanon anawauza wenzake.
Ila hakuna marefu yasiyo na ncha.
ISIS ni mayahudi wote ndio maana hawajawahi kupigana na israel ...ISIS sio waislamu ni arab jews kabisa wamepigana sana na Hezbollah .Mossad toka mwanzo imewaweka hadi mashehe na maimam wayahudi... wanaenda na kuswali swala tano na wengine wanaenda hadi Hijja... mission yao ni kukusanya taarifa kabisa. Kama mnamkumbuka hata yule kiongozi wa ISIS alidaiwa kuwa ni Myahudi na baadhi ya watu..
Humu ndani hizo mada za Iran na ulipizaji kisasi kambi za Iraq tulijadili sana na kukatoka uthibitisho Iraq USA kuna maafa yalitokea kwa askari wake.
Hivyo siwezi jadili tena trivial issues.
*Hizbollah ni political organisation sio religious organizations.