Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,126
- 93,259
Hanieh ?? Kutumia WASAP kumemponza.Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,
Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,
MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.
Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
😂😂😂😂Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,
Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,
MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.
Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
Ushajifurahisha kwa kacomment hako wakikuhitaji Israel huchomoki.iSREAL bila ya MAREKANI, UK NA UNO, Hata JKT wanawapiga
Na nyie si muwatumie?iSREAL bila ya MAREKANI, UK NA UNO, Hata JKT wanawapiga
Jmaa hata wakina ELon musk na jamaa wa facebook wako vitani , hao hawawezi kusahau asili yao ...Ulicho Andika ndicho nacho fahamu kuwa wale watu wana mikataba ya Siri na hao watengeza software ...sasa akinachofanyika ni kuwa mwarabu bado hajaelimika ...anaanzisha vita na uadui na hao watu ...ila bado anatumia cjui ..ggle..Ist...wana twit...ehee hawajui..kuwa Kuna software za face detach....vinasa sura ..uso...sasa kama una vita na hao watu Rudi stone age kabisa achana na mtandao wa simu.
...Raisi wa Iran alikuwa anatumia chopa ya usa...mwarabu anapenda iphone, sumsang...na anapenda vita na Israel
..waache watumie internet ...ndio watamjua Jews n another level
Ayatolla analala jicho moja wazi. Jicho lipi hilo mkuuIla hii ya Haniyeh kuuwawa ndani ya kambi ya jeshi karibu na makazi ya Ayatollah imeqapelekea serikali ya Ayatollah kushikwa na ganzi na mshtuuko wa aina yake
Kwa kiingereza a chill in the spine.
Imewavua ngup hadharani. Wametambua Israel inafaham kila kitu hata wakienda kunya. Na uhakika ayatollah analala jicho moja wazi huku akihamahama mara kwa mara.
Nilicheki huko tiktok w Iran Diaspora wakiwasifu wateule wayahudi kuleta hofu kwa genge la Ayatollah.
Hata kifo cha rais wap Ebrahim Rais Mossad walifanya yao.
kipenzi chetu cha dhati Imam Hussein tusaidieeee
RindaAyatolla analala jicho moja wazi. Jicho lipi hilo mkuu
MTASEMA YOTE LAKINI USHOGA LAZMA UKOMESHWEShirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,
Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,
MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.
Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
Hii ni misconception, MOSSAD inatumia ushawishi wa kipesa zaidi kuinfiltrate ngome mbalimbali kuliko so called intelligence. Kwahiyo ukiona mtu kauwawa ujue kuna inside job imefanyika kwa pesa nyingi kuhongwa.MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,
Toa VITA weka USA..... ukitaka kujua hilo ona Syria mbona wamemshindwa kumtoa Assad?Taifa la Israel limezaliwa kutokana na vita, limekua kutokana na vita na mpaka sasa hivi lina survive kutokana na vita.
Wayahudi wanajua kabisa wakilegeza kidogo tu wameisha maana wamezungukwa na maadui pande zote.
Huna tofauti na anayesema bila Djigui Djiara tungewafunga vyura magoli saba kwa nunge bila kujua Djiara ni mchezaji wa Yanga.Utaonekana zubezube mpunyenye.iSREAL bila ya MAREKANI, UK NA UNO, Hata JKT wanawapiga
Stori za wavaa kobaz ktk viunga vya mbagala, tandika, kigogo n.kiSREAL bila ya MAREKANI, UK NA UNO, Hata JKT wanawapiga
Ukisema Aliens basi tunarejea kwenye Mitume na Malaika and Jesus both are Aliens of Caanan land.Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,
Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,
MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.
Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
Hakuna cha aliens ,acha ujinga .Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,
Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,
MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.
Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
Msikilize vizuri mosab akujibu. Na la zaidi ana shangaa saa 8 za usiku halafu mtu anakufa na Body Guard wake!! walikuwa wamelala kitanda kimoja?!!Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,
Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,
MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.
Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
Hilo li TIKTOK WATOTO WA KIKE WANAUME WANAOTUMIA UPUUZ HUO HATA SIJUI WANAFANYAGA NNI NAYOHawatumii ila ukitumia whatsapp sijui Facebook hata Google basi kwisha habari yako watakukamata tu ...Ndio maana wachina wanapiga ban .
Hata wamarekani na washirika wake hawaitaki Tiktok .