Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,500
Nimeshangazwa sana na baadhi ya akina mama kumjia juu Dkt. Mwaka eti alikuwa anawapotosha kuhusu kuweka vitu mbalimbali ukeni ili wawe watamu, vitu kama sukari asali mchaichai n.k.
Imefika mahali wanawake tuache unafiki maana wenyewe ndo wakuu wa kudanganyana.
Makichen party kibao hapa mjini kwanza utakuta mashoga kibao yamealikwa halafu mafunzo yenyewe upuuzi mtupu, kuna huyu mama MC maarufu, hata kwenye ma TV yupo, siku hiyo anafundisha jinsi ya kuweka moshi wa bangi ukeni, huo ndo mambo yote eti halafu mkishindwa kuzaa mnamponda Dkt. Mwaka.
Simpendi Mwaka lakini mwacheni, mbaya wenu ni anaewauzia mibangi ya kuweka humo.
Wanaume msione wadada wazuri hivi wanavuta bangi huko chini vibaya.