babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,325
Nilikuwa pale nimemalza mwaka 2011
Nilipita hapo juzi sema majengo yamechoka sana!
hellowhabari wanaJF
nimeamua kuanzisha uzi huu kwa ajili ya kuwakutanisha wadau wa elimu na wale wote ambao walipita shule ya sekondari ya ufundi tangu kuanzishwa kwake mnamo 1957 .
Lengo ni kujuana,kukumbushana yale yaliokuwa yakijiri shuleni kwa wakati huo ,na pia kutaka kujua yapi yanaendelea ndani ya shule hiyo.
Pia kufahamu na watu mashughuli wenye mchango mkubwa kwa Taifa letu ambao walisoma hapo na kutambua uwepo wa Elimu katika shule ya ufundi moshi
Binafsi nimesoma hapo kidato cha 5 na 6,combination ikiwa ni pcm.
NB:sio lazima uwe umepita shule hyo ndo uchangie,hata kwa wale wanaoifahamu pia mnakaribishwa
hellow
nlkuwepo pale o-level..
hellow
nlkuwepo pale o-level..
Jamani mwenye picha zaidi hebu atupie
mpaka sasa o level wapo?
Ngoja nikupe picha afu unambie waijua
Shule hii kwa kweli imetoa mchango mkubwa sana kwa upande wa ufundi na kipindi cha nyuma ilikuwa bora kwelikweli. Most of our Engineers wamepitia hapo.
Nawakumbuka waalimu waliokuwa mashuhuri ennzi hizo: Mpande - vijana, Malisa - Additional Maths, Mwasha - Litreture, Nyanza - Electrical, Orbelin - Biology, Dunia - Geography, Pyuza - History.
Mimi nilikuwa nakaa Karume Dorm 33,je Mzee Ugedede bado yupo?Najua Mwalimu Daffa amefariki!Kitambo sana!Nilisoma O-level!!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
huyo ni mzee UGEGEDE akifanya mambo yake mesi ya Lumumba na Azimio