Moshi, Tanzania

Vp mbona ujataja Lushoto na morogoro hizo manzari znapatikana pia.
 
Niliwahi kuona kitu kama hiki mitaa ya Mbokomu juu milimani
 
Hii ni moshi kilema sehemu moja hivi inaitwa kirua!!ua mowo!
 
Kuna wabongo hawajaona hayo na wanataka kwenda kuona Victoria Falls Zimbabwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…